Jimbo la chadema pemba....tume semeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jimbo la chadema pemba....tume semeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAGEUZI KWELI, Jan 21, 2012.

 1. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Jamani nilipost jana ila nadhani sikueleweka.

  Kwa matokeo yaliyopo kwenye tume ya uchaguzi inaonekana kuwa Chadema walishinda Ubunge Pemba jimbo la Chambani na
  [​IMG]
  Wakachakachua ushindi kwa mshindi wa Pili Gamb
  [​IMG]a.

  Angalia matokeo haya ya mwaka jana nilivyoyapata toka kwenye mtandao wa Tume.

  Kuna muda kweli wa kwenda mahakamani kudai haki??
  [​IMG]
  [TABLE="class: cms_table_arc90_altrows-Blue, width: 100%"]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]KUSINI PEMBA
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]MKOANI[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]CHAMBANI[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%, bgcolor: #B3D5E6"]Candidate[/TD]
  [TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]
  Political Party
  [/TD]
  [TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]
  Number of Votes
  [/TD]
  [TD="width: 15%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]
  Percentage Votes
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"]
  SITI USSI SHAIB[/TD]
  [TD="width: 20%"]
  CHADEMA
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]3,351[/TD]
  [TD="width: 15%"]76.3[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"]MOH'D ABDUL-RAHMAN MWINYI[/TD]
  [TD="width: 20%"]
  CCM
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]624[/TD]
  [TD="width: 15%"]14.21[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"]MUHAMMED JUMA MUHAMMED[/TD]
  [TD="width: 20%"]
  TLP
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]211[/TD]
  [TD="width: 15%"]4.8[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"]SALEH NASSOR HILAL[/TD]
  [TD="width: 20%"]
  TADEA
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]88[/TD]
  [TD="width: 15%"]2[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"]SALIM HEMED KHAMIS[/TD]
  [TD="width: 20%"]
  CUF
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]43[/TD]
  [TD="width: 15%"]0.98[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"][/TD]
  [TD="width: 20%"][/TD]
  [TD="width: 5%"][/TD]
  [TD="width: 15%"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 10%"]SPOILT VOTES[/TD]
  [TD="width: 20%"][/TD]
  [TD="width: 20%"]75[/TD]
  [TD="width: 15%"]1.71[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 10%"]TOTALS[/TD]
  [TD="width: 20%"][/TD]
  [TD="width: 20%"]4,392[/TD]
  [TD="width: 15%"]100[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"][/TD]
  [TD="width: 20%"][/TD]
  [TD="width: 5%"][/TD]
  [TD="width: 15%"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Muda upo karatasi za kura hutunzwa
   
 3. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  loh.. Na mbunge mwenyewe huyo aliyepo... Basi tu.
   
 4. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,512
  Likes Received: 5,629
  Trophy Points: 280
  Chadema iliponzwa na kukosa mtandao nchi nzima.hata sasa sijui mkakati wao upoje kabla ya 2015.miaka 4 kwa mikakati ya uchaguzi ni midogo sana!
   
 5. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  mtandao upi chadema ilikosa? kama huu wa ccm kuchakachua au kama huu wa tume mwenzetu alipotoa matokeo?
   
 6. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  CDM inafika baadhi ya maeneo na kwingine hakuwahusu hawana interest nako
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Jamani wapi Dr. Slaa wapi Mbowe? thibitisheni hili!
   
 8. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #8
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  yalaaaaa
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Nini tena Mkuu?
  Tumeliwa Mkuu, na nadhani mwizi namba moja ni mgombea wetu wa CHADEMA kwanini amekaa kimya? Je, alihongwa?
   
 10. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #10
  Jan 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Huwa nikiona vitu kama hivi machozi huwa yananitoka. Kwanini Mungu asiwaue wale wote waliohusika na uchakachuaji huu ulio dhahiri? Kwa hakika 2015 YAKITOKEA HAYA NAINGIA MSITUNI
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Mkuu Mageuzi Kweli,
  Hii inaonyesha dhahiri Mgombea wetu aliuza haki ya wapiga kura kwa ccm

   
 12. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #12
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Cdm hawana mpango na siasa za zanzibar sidhani kama hilo hawakulijua (kama kweli lipo).
   
 13. MANI

  MANI Platinum Member

  #13
  Jan 21, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Pole mkuu !
   
 14. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #14
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hii kitu hii!
  Ngoja nipate Capuchino kwanza.
   
 15. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #15
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nilijua tu lazima utatokea...tena na mawazo hayo.
   
 16. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #16
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  kila kiongozi aliyepo Chadema ana eneo lake la kumtoa kisiasa

  wengine kaskazini, mwingine magharibi na kanda ya ziwa, wengine Dar es salaam

  wanakimbilia maeneo ya kuwajenga kama kiongozi binafsi na sio chama
   
 17. C

  Calipso JF-Expert Member

  #17
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 284
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  GREAT THINKERS?????????????????///


  Pemba na CCM NA CHADEMA wapi na wapi? sijaskia hata udiwani kupata chama chengine badala ya CUF pekeeeeeeeeeeeeeee.


  Tafakari kabla.
   
 18. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #18
  Jan 21, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  sio rahisi kwa mtu aliyepata ushindi zaidi ya 74% akachakachuliwa tena na mtu mwenye 14%, jipange upya uenda utaeleweka.
   
 19. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #19
  Jan 21, 2012
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Daah huu upotoshaji umevuka mipaka,nijuavyo mie pemba yote wabunge wanatoka CUF hiyo ya CCm balaa zaidi ya uongo wa CDM kushinda,
  humleweshi mtu hapa
   
 20. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #20
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mkuu kuna uchakachuaji hapo, CUF wa mwisho?
   
Loading...