Kikwete akutana na uongozi wa CHADEMA Ikulu; Dr. Slaa ndani

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Taarifa tulizopata punde ni kuwa Rais Kikwete na ujumbe wa CHADEMA wamekutana Ikulu muda si mrefu, Slaa ni mmoja wa waliohudhuria. Inasemekana ni mwendelezo wa maongezi ya mjadala wa Katiba.

WanaJF,

Nawashukuru wote wanaofuatilia thread hii. Nawaomba kwa mara nyingine muwe na amani. Nawahakikishia hakuna wala hakutakuwa na usaliti. Chadema iko makini sana. Tunasukumwa na uzalendo na nia njema kwa Taifa letu.

Aidha kama alivyosema MMJ, tumekuwa tukisukuma mabadiliko makubwa katika Sheria ya Mabadiliko ya Katiba kabla Rais hajateua Tume ya kukusanya maoni. Tulieleza wazi kuwa vinginevyo hatutashiriki mchakato wa kukusanya maoni.

Ni dhahiri busara ya kawaida inataka tupate progress ya majadiliano hayo hayo na utekelezaji wake. Katiba nzuri ndio afya na uhai wa Taifa hata kama si ufunguo wa matatizo yote yanayotusibu leo. Wakati mwafaka utakapofika tutatoa Taarifa kwa umma.

Msiwe na hofu mtuamini.

Picha:

Wakiwasili:
chadema-wakiwasili-ikulu.jpg

chadema-wakiwasili-ikulu-wassira.jpg


Ndani:
mnyika-wassira.jpg

chadema-ikulu-wakisubiri.jpg

chadema-ikulu-jan-2012.jpg


JK akaja:

lissu-slaa-kikwete.jpg

Slaa-Kikwete.jpg

slaa-mbowe-kikwete.jpg

CHADEMA-Ikulu-leo.jpg

juice-ilikuwepo.jpg


Wakiondoka Ikulu:
slaa-lissu-kikwete.jpg

slaa-baregu-kikwete.jpg
 
Habari kutoka source ya kuaminika zinasema jk yuko kwenye meeting na dr slaa ikulu mida hii
My take:naona jk anajaribu kuomba ushauri nchi imekuwa ngumu last wek ilikuwa Mbowe, leo Dr Slaa
Picha bidae
 
Ni kitu chema kama wanakutaka kwa maendeleo ya watz na nchi kwa ujumla.
 
Ni mkutano kati ya Rais na Slaa ama ni mkutano kati ya Rais na viongozi wa CDM akiwemo Katibu Mkuu? Mbona mkutano wa usiku au wanakutana kunywa kahawa ya jioni?
 
Pasco yuko wapi? Sasa hakuna haja yakupanda juu ya kaburi kuitafuta picha.

Gazeti la Mwananchi kesho ''SLAA AKUBALI YAISHE''
 
Namsubili Pasco wa JF azidi kuumbuka na ripoti zake za Kizandiki eti kwa nini Dr Slaa na JK hawakusalimiana kwenye msiba wa Regia! mijitu mingine hovyo kweli kweli.

DAH! mkuu km ulikuwepo kichwani mwangu.
 
Dr kata kilimilimi wote wanaochonga wabaki midomo wazi kama milango ya police 4j4hd
 
Dk Slaa ni mtu makini na anacheza na mind za magamba kwa sababu magamba wamepiga kelele oo mara sijui hamtambui oo sas dr kaenda kukutana ja JK ili kidomo domo kiishe kabla hawahjazusha ,emngine makubwa ambayo hata haya exist
 
Back
Top Bottom