Mhe Zitto Kabwe kuwasilisha hoja binafsi kufufua zao la katani (bunge lijalo) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhe Zitto Kabwe kuwasilisha hoja binafsi kufufua zao la katani (bunge lijalo)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kimboka one, Jan 22, 2012.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  mh zito kupitia channel ten amesema anataka kuwasilisha hoja binafsi,kwa lengo la kufufua kilimo cha katani. Hakika ktk hili nipo pamoja naye sana,na ninaomba wabunge ktk hili acheni siasa za uchama,unganeni mfufuwe uchumi wa nchi hii.

  Kabwe anaweza vizuri sana na ni kichwa ila anapoingia kwenye siasa uchwa na tamaa za kujilimbikia mali. Ila ni mtu anayeweza kwa upande wa wananchi. Mungu ambadilishe awe mtu mweme
   
 2. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  Ili NSSF watengeneze UMEME wa kutumia MABAKI ya KATANI?
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,261
  Likes Received: 19,389
  Trophy Points: 280
  wazo ni zuri ila inabidi tuangalie kuwa kwa nini katani ilikufa? na je tukiifufua soko lipo?
   
 4. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,047
  Likes Received: 3,956
  Trophy Points: 280
  unajua watu hawajua zao la katani lilikufa kutokana na utengenezaji wa synthetic fibers ropes na japokuwa zimethihirika si salama kwa mazingira bado katani haijapata soko kubwa kama hapo mwanzo! bado nchi nyingi zinatumia synthetic fiber ropes kwa vile wanautaratibu mzuri wa ku-recycle waste zinazotokana nazo! Labda tuitumie katani kutengeneza mazulia kwa wingi tushindane na Wairan wanaojulikana kwa mazulia japokuwa malighafi zao si katani
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,261
  Likes Received: 19,389
  Trophy Points: 280
  hapo mkuu umeongea kw a sababu miaka ya 50's Tanganyika nadhani ilikuwaworlid top 5 kuzalisha katani ila hii kitu synthetic fibers ropes ndio ikaua bendi ..sasa tukifufua inabidi tujue na pa kuzipeleke.
   
 6. M

  Mkodoleaji JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2012
  Joined: Apr 27, 2008
  Messages: 454
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Itabidi pia aseme NSSF na Dr Idris Rashid wana mkono kiasi gani katika hiyo motion
   
 7. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  katika injii hii zitto namkubali sana hakurupuki hana uchama, ukabila wala udini,BIG up zitto
   
 8. L

  LAT JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  personally namkubali Mh. Zitto, he is a treasure in this country

  inasikitisha sana kuona maeneo makubwa ya zao hili la mkonge yakiwa dormant if not dead

  hivi katani si inaweza kutumika kuzalisha umeme kama bio fuel?

  i hope wote tutamuunga mkono na kum-support mh. zitto
   
 9. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #9
  Jan 23, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kila la heri ktk hoja hii nzuri ila akumbuke uungwaji mkono hoja hii utategea sana na atakavyo jenga hoja ya namna kupata soko la katani na minor products zake
   
 10. M

  MWANA WA DAUDI Member

  #10
  Jan 23, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo hoja Kikwete atampigia Madam Speaker ili ipite, ili jamaa aendelee kuongeza umaarufu. Wakumbuka sakata la Kuwa m/kiti wa Mashirika ya Umma? Jk aliweka mkono wake. Lengo Jk anataka Zitto amrithi Mbowe.
   
 11. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #11
  Jan 23, 2012
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni sawa' lakini wazo hilo liendane na kufufua viwanda vya nyuzi!
   
 12. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #12
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  si hivyo tu mkuu

  tunakazi ya kuvifufua viwanda vyote vya nguo,kapeti,maza,viti,na baada ya kumaliza hilo hakika uchumi wetu utaanza kujikongoja

  lakini kama tuta fufua mkonge bila viwanda kazi itakuwa ni ileile ya kuuza malighafi nje ya nchi
   
 13. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #13
  Jan 23, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Uenyekiti wa cdm sio umaarufu kupitia bunge kwahiyo kama usemayo ni kweli JK anajimaliza mwenyewe kwakuwa kwa sehemu kubwa cdm wanafanya kazi ki-team zaidi na sio individual hata Zitto analifahamu hilo vizuri ndio maana yeye mara nyingi huwa kimya zaidi ila wapambe ndio wenye kelele.
   
 14. nice 2

  nice 2 JF-Expert Member

  #14
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Amaa kweli wivu na chuki ni gonjwa hatari sana haswa kwa maendeleo ya nchi. Well, Zitto atapata umaarufu (hofu yako kuu), na mwisho wa siku anayenufaika na hiyo katani ni nani?
  Kama watu ni wavivu wa kufikiri wasitake kuwakatisha tamaa wenzao. Go Zitto.... Katani will provide a good number of employment as well.
   
 15. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #15
  Jan 23, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Hii nzuri Sana,hongera Zitto,ukifanikiwa utakuwa umewasaidia vijana weng wa Tanzania,Viwanda vitafufuka na vijana weng watapata ajira na hakika tatizo la ajira hata kwa vijana wengi litapungua.,
   
 16. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #16
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  wakuu katani inasoko kubwa sana ktk viwanda vya magari kwa ajili ya viti vya magari na wasambazaji wakubwa ni brizil nao wameshindwa
   
 17. k

  kiche JF-Expert Member

  #17
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  vitu vya kufufuliwa katika nchi hii ni vingi sana,viwanda vingi kama si vyote vimekufa,uwajibikaji kwa watanzania unatakiwa kufufuliwa kwani nao umekufa kabisa,namshauri zito kwanza afufue utamaduni wa kutekeleza sheria katika nchi hii kwani bila sheria kutekelezwa ni ndoto kupata maendeleo,kwa sasa sheria zipo kwenye makaratasi tu,hata hiyo hoja ya mkonge itapitishwa then no enforcement,wakati mwingine bunge uwa naliona kama the comedy tu,hawana jipya hata kidogo ni kelele tu utekelezaji ziro,inauma sana.
   
 18. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #18
  Jan 23, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  The problem with this guy is that he starts very sensible motions but he never pursues them to their logical conclusions; remember the motion he moved accusing the Finance Minister of fraudulently selling government property and in his haste to cover his tracts he dismissed the CHC board of directors?? How was the issue resolved because the Finance Minister also countered by accusing Zitto of having been bribed by CHC management in order to protect their interests in parliament? He will be well advised to handle serious issues one at a time if he has to be taken seriously.
   
 19. Mr.Professional

  Mr.Professional JF-Expert Member

  #19
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,602
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  good idea kwa changamoto za kufufua uchumi mfu kama wa kwetu
   
 20. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #20
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Wazo zuri na sahihi!!!
   
Loading...