Current THREADS za Mh. Regia Mtema... A Guide Thread | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Current THREADS za Mh. Regia Mtema... A Guide Thread

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by AshaDii, Jan 17, 2012.

 1. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Habari wana JF.


  Tokana na kwamba hapa JF na taifa limepata msiba mkubwa wa kumpoteza Mpendwa wetu Mh. Regia E. Mtema kumekua na Threads nyiingi mno ambazo imekua ngumu saana kuzifuatilia na kujua zingine ziko pande gani (Jammii Photos, Jukwaa La Siasa, Complaints, advice & Congrats and MMU) ili kua updated kwa wale ambao tupo mbali na maeneo ya Matukio toka jana. Nimeona ni muhimu nikusanye Link za Thread zote ambazo ni related to the Funeral katika hii single thread ili kuwekea wepesi wale ambao wamepitwa (tokana na ukweli kua we have lives beyond JF); na wataka saana wajue every detail ambazo zimekua posted hapa JF na Members mbali mbali. Hii pia yaweza kusaidia Re-posting of things of the same content.


  Picha: Mazishi ya Regia Mtema Ifakara - [Courtesy of The Finest]


  Live Mazishi ya Mh. Regia Mtema Huko Ifakara (updates) - [Courtesy of Josephine]


  Regia Mtema is No More! - [Courtesy of Mgeni Wenu]


  Farewell-Kwaheri Regia: A Tribute Page - [ Courtesy of Mwana Kijii ]


  Nakuagaje Rejia? - Zitto - ( Courtesy of Zitto]


  Live: Ndani ya Viwanja vya Karimjee, Burian kwa Mh. Regia Mtema - [Courtesy of Josephine]


  Rejia: Battle of Memories - JF, TGNP, CHAWATA & CHADEMA - [Courtesy of Petu Hapa]


  Ni nukuu gani ya Regia tutumie kwenye Tshirts? - [Courtesy of Maxence Melo]


  Mh. Regia Mtema (R.I.P); Just a thought - [Courtesy of E=Mcsquered]


  Umoja wa Wana JF katika Msiba wa Regia Mtema - [Courtesy of The Finest]


  Picha: Ibada ya Kumuaga Regia Mtema iliyofanyika Tabata - [Courtesy of The Finest]


  IN PICTURES LIVE TOKA KARIMJEE - Buriani Dada Regia Mtema - [Courtesy of El-Toro]  Reggia alikua anaendesha gari? wakati mguu wake wa Kulia ndio mlemavu? - [Courtesty of Kayagila]


  Video ya Gari iliyomuua Regia Mtema - [Courtesy of Chenge]


  Regia Mtema was A Great Woman Leader - [Courtesy of Mpenda Dezo]


  CCM Kuongoza Mazishi ya Mtema - [Courtesy of Kupeng'e]


  TAHADHARI KWA CHADEMA - [Courtesy of Kachachabuseta]


  "Friends of Regia" wapanga kukutana DSM Kumuenzi Regia(Courtesy of Sanctus Mtsimbe)  Natoa pole kwa wana JF kwa Msiba mkubwa ulotukuta.

  Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahala pema peponi. Ameen.


  Pamoja Saana.

  AshaDii.

  P.S

  Naamini Threads zinazidi ongezeka in the name of the Late Regia. (hii yenyewe ni mfano moja wapo) Nitajitahidi update whenever possilble and Relevant.

   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,292
  Likes Received: 315
  Trophy Points: 180
  A Guide Thread {Courtesy of AshaDii}
   
 3. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Inkoskaz huwa unapumzika wakati gani? Maana kutwa unapiga tiz!
   
 4. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,983
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  R.I.P dada yetu Regia.
   
 5. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,240
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Hongera sana AshaDii kwa kazi nzuri!!!
  Namimi baadaye nitakuja na Thread yenye linki ya hii thread yako.
   
 6. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  AshaDii,
  Unatafuta kazi ya u-moderator JF?
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160


  Nimeyafanya haya kwa kuwa niwajibu wangu kuyafanya hayo.Nimelelewa katika kutimiza Wajibu wangu - Rejia E. Mtema

  Souce: LINK  Ni ajabu saana jinsi ambavo kila siku twalaumu viongozi kwa kazi ambazo wategea na kuto toka katika wizara zao... Mimi ni member wa JF I have a rite na obligation ya kufanya hivo (Mradi iwe ndani ya uwezo wangu); Vivo hivo hata wewe. Kuipenda kwangu JF na kumpenda na kumkubali kwangu Marehemu Regia ndio imenisukuma hilo... Pia ile kitendoa cha kusema I am certain kuna members wanataka hizi Links and feel lost not knowing where to start pia nayo imenisukuma. I am passionate in all my doings. Hivo kama unaona my passion has exceeded the required amount thus ukaamua kuni name/nishutumu nataka U-moderator.... I am humbled kwa kunipaisha.


  Pamoja Saana.

  AshaDii.
   
 8. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #8
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  My Wifii kazi nzuri sana sante sana
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,407
  Likes Received: 14,708
  Trophy Points: 280
  hahah kweli akili za mtu zinaendana na jina lake
   
 10. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,465
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Wifi yako kwangu mie kakaako ama maana kama yupo single nimemzimia kwa kweli japo naogopa kuslim
   
 11. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #11
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,638
  Likes Received: 1,664
  Trophy Points: 280
  Awesome!
   
 12. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #12
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,261
  Likes Received: 7,080
  Trophy Points: 280
 13. Complicator EM

  Complicator EM Senior Member

  #13
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 155
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kumbe Ashadii ni moderator?
   
 14. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #14
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  ndivyo alivyo toka amejua kufanya mazoezi..
   
 15. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #15
  Jan 17, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 13,935
  Likes Received: 2,098
  Trophy Points: 280
  Heading inatofautioana na kilichpop ndani.
   
 16. JS

  JS JF-Expert Member

  #16
  Jan 17, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ashadii aren't you a sweetheart and thoughtful? Asante kwa uzi huu. Nitakugongea like nikiwa kwa PC
   
 17. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #17
  Jan 17, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,940
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  You dont need to explain every thing you do.Go on dadito .I like that spirit of accountability.
   
 18. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #18
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Naomba ,,,,,,,,Jisachi Alafu nishauri ya kwako Kaka Jambazi....


  Thanks Dearest.....
   
 19. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #19
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,751
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Ahsante sana dada maana kuna thread nyingine zilinipita kushoto.............. sasa hapa nitazisoma kwa utuvu
   
 20. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #20
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,597
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
Loading...