• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
AshaDii
Reaction score
379

Profile posts Latest activity Postings About

 • Poriposha
  Much appriciate you.... tupe Food of Thoughts....
  Gaga
  mamito i hope u mzima, nimepita kukupa hi, nimemiss sana sana aisee, siku njema
  saudari
  Kuna wakati napata mashaka nisipokuona ila naamini upo na "u" mzima wa afya. Zaidi ya yote napenda kukutakia mchana mwema wenye mafanikio. Uwe mmoja kati ya watu ambao wameona mafanikio katika maisha yao ila Mungu awe wakwanza kushukuriwa kwa mema analokutendea kwa kila nyakati.
  Azimio Jipya
  Redemption son....The song urges listeners to "Emancipate yourself from mental slavery," because "None but ourselves can free our minds". These lines were taken from a speech given by Marcus Garvey in Nova Scotia during October 1937 and published in his Black Man magazine:We are going to emancipate ourselves from mental slavery because whilst others might free the body, none but ourselves can free the mind. Mind is your only ruler, sovereign. The man who is not able to develop and use his mind is bound to be the slave of the other man who uses his mind ...In 2009, Jamaican poet and broadcaster Mutabaruka chose "Redemption Song" as the most influential recording in Jamaican music history... Redemption Song - Wikipedia, the free encyclopedia
  Innocentinno
  i lyke ur profile u will teach some tips am new member. i don't knw much i hope u wll accept
  jouneGwalu
  Kuna wakati Nyimbo zingine nzuri huwezi kuzikumbuka, mpaka umuone mtu fulani au kitu fulani.....
  Na wakati unausikiliza huo wimbo (bila kujali ujumbe wake at first place) ndio unajua kuwa huyo mtu/kitu ni maalum sana.....
  Hichi ndio kilichonitokea nilipoona post zako leo....
  Nkajikuta napata hamu ya kumsikiliza Adele na "Skyfall" yake..... so beatiful
  http://www.youtube.com/watch?v=StJLvbPIvTw
  Azimio Jipya
  ... Be assured ..was n here after a long Space Patrol program ... Tell me you are Fine ..and all is n control!!!
  Keren_Happuch
  Thank you my dear sister! Much Blessings,
  Keren_Happuch
  Keren_Happuch
  Asante sana kwa kunikumbuka siku zote. Nami nakukumbuka sana. May you be blessed! Much Love
  Gaga
  Nisamehe bure mpenzi wangu mambo yamenitinga mpaka nakuwa sipati muda kabisa wa kuingia humu, project yangu nje ya jf imefikia mwishomwisho nitakuwa member mzuri sasa, naona soooo much changes,hata sijui naanzia wapi, platnum na diamond sijui nini, mie nahisi nitakuwa ruby
  Rutashubanyuma
  Za masiku......................
  M
  Dear
  Thank you for your reply
  Kwangu huku ni faraja sana kukuona tena na kushare your lovely wisdom humu jamvini
  Tulikumiss na jukwa likapwaya sana
  Ila kuja kwako kumetuchangamsha sana
  Nashukuru sana kwa Wishes zako na naamini kwa pamoja zitakuwa zimefika bila wasi wasi
  Asante sana Dear
  Apollo
  Wow, thanks my lovely sister, actually i likes Rock and Reggae more than anything. Last week av got a brand new collection of rock music (more than 1200 song) from my friend.

  My new dedication;
  Arcade fire-The Suburbs
  Jimmy eat World- Watch the fire work, The Sunday, Kills
  Whiskeytown- Inn Town, Excuse me if i will break my heart tonight
  Snow patrol - In the end (I'm sure u will like this band, just like coldplay they plays alternative rock)
  Foster The People-Pumped up kicks. (best song of 2011 from Billboard)

  Enjoy my sister...
  Blessings...
  njiwa
  Walykum salaam! sis! glad kusikia upo fine! mashaAllah! usipotee hivo JF!
  M
  Yaani sijui nakumissije wala siwezi eleza
  karibu sana dear wangu na lots of kisses ambazo ni za shavu please
  Huku kwema tuu The Finest anaendelea na kazi yake ya kusaka ampendaye na kila anakoenda kibuti kinalia
  Erickb52 kanyimwa mafao wakati alikuwa amejiandaa kujenga kajumba kake ka kustaafu
  Akina Kongosho na gfsonwin wako salama kabisa ila tumemmiss sana BHT na Sweet lady
  Apollo
  ADI i Miss you my friend, How are you? Goodnite.
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top