Dr. Mwakyembe, ni maradhi tu?

Dr. Mwakyembe, ni maradhi tu?

kimpango

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
600
Reaction score
717
Nimekuwa mfuasi mzuri sio wa CCm bali wa Dr Mwakyembe binafsi haswa baada ya sakata La Richmond,lakini nimekuwa nikijiuliza hivi maradhi anayoumwa sasa ni ya kawaida au kuna mkono wa Siasa ndani yake , jamani naogopa isije ikawa wameamua kumzima kabisa yaani ndio anajifia tartiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiib bila kelele
 
Wamempa Sumu kaka! Serikali ya CCM ni ya kiuaji.
 
nitumie lugha ya mtaani kidogo, nadhani wakyembe ni f.al.a flani, anatuficha taarifa watanzania tunayoitamani kuifahamu, halafu yakimfika shingoni aanze kuomba sympathy ya watz, anawaogopa wanadamu kuliko kumheshimu mungu! aaah bonge la fa*la
 
Dr.Mwakyembe aje public aelezee umma ugonjwa unaomsumbua....amekaa kimya sna sijui anaogopa nn....
 
Dr Mwakyembe alisema "anamwachia Mungu" na "hatalipiza kisasi" sasa hatujui hizo kauli zimebeba ujumbe gani!
 
nitumie lugha ya mtaani kidogo, nadhani wakyembe ni f.al.a flani, anatuficha taarifa watanzania tunayoitamani kuifahamu, halafu yakimfika shingoni aanze kuomba sympathy ya watz, anawaogopa wanadamu kuliko kumheshimu mungu! Aaah bonge la fa*la

nimelalamika sana juu ya hilo mkuu, kweli mwakyembe ni fa.la!
 
Dr.Mwakyembe aje public aelezee umma ugonjwa unaomsumbua....amekaa kimya sna sijui anaogopa nn....
anaogopa uvunjifu wa amani nchini kwani wananchi wa mbeya wameshatangaza kujitenga na tanganyika iwapo watabaini kuwa kuna hujuma zimefanywa dhidi ya viongozi wao
 
huyu naye atulie sasa na maukurutu yake atupishe bana
 
huyu naye atulie sasa na maukurutu yake atupishe bana

imebidi nicheke ..eti maukurutu yake!!!!..kwa kweli ukimuona sasa hivi anatia huruma sana mkuu wangu.....mikono inashina kwenye gloves tu...usono japo anaonekana kutabasamu lakini ngozi yake inaonekana kama imechoka sana na anaipaka.kimsingi ana hali mbaya sana............
 
Mungu atamlipizia tu!! Kwani na waliofanya hivo ni wanadamu cio chuma wakuu, kwani fimbo ya Mungu ni ya taratibu sana, hata kama cio kwa leo vizazi vyao vitarithi uovu huo.
 
Back
Top Bottom