Mchakato wa katiba mpya na vipindi vya Tbc1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchakato wa katiba mpya na vipindi vya Tbc1

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Maengo, Nov 20, 2011.

 1. M

  Maengo JF-Expert Member

  #1
  Nov 20, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni juzi tu niliwasikia wabunge wa CCM wakiishambulia ITV kwa madai kuwa inafanya uchochezi kwa kurusha vipindi vya makongamano yanayopotosha wananchi yanayohusu upatikanaji wa katiba mpya. Na walienda mbali zaidi kwa kuisifia TBC1 kuwa imekuwa na vipindi vizuri sana....! Leo jioni hapa nyumbani nilikuta wenzangu wakiangalia kipindi cha CHEREKO kinachorushwa na tbc1 kila jumapili, ndipo hapo nikakumbuka zile sifa ambazo tbc1 ilimwagiwa na wabunge wa CCM!
  Hivi kipindi kama CHEREKO kina manufaa gani kwa taifa ukizingatia ile ni tv ya taifa? Je, ni vipindi hivi hivi ambavyo wabunge wa CCM walikuwa wanatetea?
  m
   
 2. b

  bitej New Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nadhan chereko haina tatzo ndgu sometimes we
  hv 2 refresh mind
   
 3. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  TBC1 ndo nini?
   
 4. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wabunge wa ccm wana
  boa sana, sipendi kuwasikia. Wanapenda kutetea ujinga sana, hamkumuona jenista na wanae walivyokuwa wanaonyesha jinsi wanavyo2ibia?
   
 5. D

  Darick JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mimi sipingi kuwepo kwa vipindi vya cherekochereko TBC1 ninachokipinga kuhusu tbc1 ni kule kujigeuza kuwa agent wa ccm kila kitu hata kama kina masilahi kwa taifa lakini kina hatarisha ustawi wa ccm kitawekwa pembeni na vipindi visivyo na maana vitawekwa. mfano; mimi sioni sababu ya tbc kujiweka upande wowote katika suala hili la katiba kama chombo cha taifa ndicho kilitakiwa kiwe mstari wa mbele kuandaa makongamano na kuwasikiliza watu wanataka katiba ya namna gani!! hata hiyo tume ikisha undwa tayari kutakuwa na idea kuwa wananchi wanataka kuwe na nini na kusiwepo na nini kwenye katiba mpya. lakini kinachoonekana tbc1 + mibunge ya ccm hawajui kuwa suala la katiba ni beyond political parties, ni suala la kitaifa zaidi!! lakini wao wameligeuza kuwa ni vita kati ya chama fulani na chama fulani, huu ni upuuzi wa hali ya juu, na kama itv na redio wani nao wakaamua kufuta ujinga huu basi watanzania tutakosa pa kusemea hivyo tutakufa kiume au kibudu.
   
Loading...