Leo hii Watanzania wenzangu wengi bado hawajui kuwa nyakati za Ukoloni "Babu zetu" walikerwa sana na matendo mabaya yaliyotendwa na Wakoloni. Kwa zaidi ya miongo 7 yaani miaka sabini ya utawala wa...
Hii imekuwa dhahiri kabisa
Viongozi wetu hawajapatikana kwa kura halali, ndo maana hawana uwajibikaji kwa wananchi.
Wizi wa kura, uchakachuaji, rushwa na kununua kura.
Pesa za kununua kura...
Sababu za kwanini posho isipandishwe zimeshasemwa sana na wananchi. Sijasikia sababu zozote za msingi, zinazojibu kwa kina hoja za wanachi juu ya ongezeko hilo. Lakini inawezekana kabisa Serikali...
Nionavyo mimi majeraha ya
uchaguzi inamaanisha hali ya
kutoridhika na matokeo ya
uchaguzi, mtu au kundi fulani
linadhani kuwa halijatendewa
haki kulingana na sababu
zinazoainishwa na kundi...
Kwa habari zilizonifikia sasa hivyi zinasema Mkurugenzi wa Tanesco Bw. Idrissa amejizulu kama mkurugenzi mkuu wa tanesco.
Barua yake imetumwa leo jioni
Baadhi ya Wana JF waliokutana katika Ibada ya Kumwombea Marehemu Mh. Regia Mtema Kanisa katoliki Segerea. Wana JF hawa wanapendekeza kuwa ipangwe siku maalumu hivi karibuni ambayo wana JF na...
Mimi naona chokochoko za Zanzibar haziishi........kwa nini tusiujadili huu muungano kwa kura za maoni? MIMI NAONA NI WAKUBWA WETU TUU wanautaka huu kuungano.......sasa tuanzia hapa JF kuujadili...
Wakati serikali inadai ina Nakisi kubwa ya wataalamu wa kada ya Afya na kuahidi kuongeza Idadi ya Vyuo Vidogo na Vikubwa ili kukabiliana na nakisi hiyo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa...
MGOMBEA wa kiti cha uwakilishi wa Jimbo la Uzini, mjini Zanzibar kupitia tiketi Chadema, Ali Mbaruku,amewasilisha pingamizi akipinga kuteuliwa kwa Mohammed Raza wa CCM, kuwania nafasi hiyo...
Nasikia ya kuwa iwapo mipaka mipya ya Bahari inayoombwa na Tanzania Bara, iwapo itakubalika ,Then siku Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika ukaja vunjika(GOD FORBID) visiwa husika vitakuwa...
Moja ya sifa kubwa ya chama chochcote makini cha siasa ni uwezo wake katika kufanya maamuzi sahihi kama ambavyo chama hiki kimekuwa kikifanya kwa nyakati zote.
Kumekuwa na suala la kifo cha...
Copied and pasted here!!
"Katika nchi yetu kitu kinachotushinda ni kufanyia kazi Vipaumbele! Tukiweza hili kila kitu kitakuwa sawa. HiviDaraja la Kigamboni lenye thamani ya shilingilioni 214...
Rais Kikwete amefungua milango
Evarist Chahali
Rais Kikwete msibani kwa Marehemu Mbunge Regia
KWA mara ya pili ndani ya takriban kipindi cha wiki moja, Tanzania imepoteza wabunge wawili...
This is from Mh. Zitto Kabwe Zitto kwenye mtandao wake wa Twitter…
Just informed that the PM had a meeting with Editors today and confirmed a new rate for sitting allowance to MPs ie...
Umeshawahi kusikiliza wimbo wa Prof. J 'Ndiyo Mzee'.
Aliandika mashairi yake mazuri kama-Yeye ni mteule aliyetumwa na Mungukuikomboa TZ,atafungua account kwa kila mtoto mchanga,mabaamaid...
IKO NJE KWENYE MATENGENEZO, SERIKALI YAKWAMA KUILIPIA
na Mwandishi wetu
UKATA unaoikabili serikali, umesababisha kukwama kuilipia ndege maalumu ya Rais, inayofanyiwa matengenezo nje...
KIKWETE TUMEKUKOSEA NINI?
Josephat Isango
HUENDA kuna mambo tumemkosea Rais Jakaya Kikwete ndiyo maana analipa kisasi. Haiwezekani Watanzania mkakataa ukweli huu, hata kama mkikataa...
Nilikuwa nimepata nafasi ya kuzungumza na jamaa zangu kadhaa ambao kwa kweli wamefanikiwa katika sekta binafsi hapo nyumbani. Wengi wa hawa jamaa walikuwa serikalini na baadaye wakaenda uraiani...
Muungano wa Tanzania sasa umekuwa dhaifu zaidiRais Kikwete ameficha wananchi ukweli
MUUNGANO wa Tanzania siyo tena kitu kimoja, hasa baada ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), kufanya...