Mustakabali wa taifa letu

Mountainmover

Member
Nov 9, 2010
46
9
Nionavyo mimi majeraha ya
uchaguzi inamaanisha hali ya
kutoridhika na matokeo ya
uchaguzi, mtu au kundi fulani
linadhani kuwa halijatendewa
haki kulingana na sababu
zinazoainishwa na kundi hilo.
Kutibu majeraha ya uchaguzi
mkuu 2010 itawezekana
endapo kitafanya kazi yake
kwa ukamilifu na kasi ya
kuridhisha. Vijana wengi
tunaamini haki na amani ni
vitu ambavyo kimoja hakiwezi
kudumu kama kingine
kitatoweka. Binafsi shauku
yangu ni kuona haki
inatendeka katika kesi
zilizofunguliwa kupinga
matokeo ya uchaguzi..hapo
ndipo tutalinusuru taifa letu.
Mungu ibariki Tanzania.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom