Uhusiano wa mambo,Bongo flavor na Siasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhusiano wa mambo,Bongo flavor na Siasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwimbe, Jan 26, 2012.

 1. M

  Mwimbe New Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umeshawahi kusikiliza wimbo wa Prof. J 'Ndiyo Mzee'.
  Aliandika mashairi yake mazuri kama-Yeye ni mteule aliyetumwa na Mungukuikomboa TZ,atafungua account kwa kila mtoto mchanga,mabaamaid watamiliki Benz,Askari watatumia helkopta,wakulima wote watatumia matrekta,wanafunzi practical mwezini,barabara tanotano juu na chini,mabomba ya maji na maziwa nchi nzima.......na mengine mengi,akashinda kwa kishindo.Tathmini yake ni kutoa Maisha bora kwa kila mtanzania.
  Ndivyo alivyo yatumia mheshimiwa alipokuwa anaingia 2005-ahadi kibao aiming at 'maisha bora kwa kila mtanzania!Kwa prof J hazikutekelezeka akaitwa kikao cha dharura,akajitetea lakini wanachi wakagoma vikali na Mwisho akang'atuka.Sijui kwa huyu mfuasi wake itakuwaje.....I like the comedy.
   
 2. Possibles

  Possibles JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 560
  Trophy Points: 280
  Ngoja arudi yuko Davos anainadi nchi.
   
 3. d

  davidie JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ameokota dhahabu kariakoo acha atembee tu kama asingekua mheshimiwa angeyajua lini mahotel makubwa na ndege za kimataifa?
   
 4. d

  davidie JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  roma (naongea na rizwan) street kimenuka kaongee na m sure
   
 5. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Si alishasema asiposafiri mtakufa njaa?
   
 6. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  Albam ya picha bado haijajaa.
   
 7. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  kila mkutano lazima aende! Nji ina hali mbaya kweli!! Ye yuko angani atafute na hoteli za kununua! C unajua muda unakaribia kuisha.
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Pamoja na kwamba huo wimbo una ujumbe mzuri sana miaka yote hiyo bado watu hawakuzingatia, bado wanadanganywa na wanadanganyika. Ndio maana wasanii wengi wanajikita kwenye nyimbo za mapenzi tu.
   
Loading...