Tanzania Kwishney, Viongozi wetu wamekuwa wakoloni, hawajali tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Kwishney, Viongozi wetu wamekuwa wakoloni, hawajali tena

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPadmire, Jan 26, 2012.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Hii imekuwa dhahiri kabisa

  Viongozi wetu hawajapatikana kwa kura halali, ndo maana hawana uwajibikaji kwa wananchi.

  Wizi wa kura, uchakachuaji, rushwa na kununua kura.

  Pesa za kununua kura zimetoka wapi? Walifanya ufisadi, 10%. NDo maana uchumi umeyumba, hawakusanyi kodi kwa sababu matajiri wamewaweka mfukoni.

  Kuna mfumuko wa bei, hii sio ajali bali ni matokeo ya ufisadi.

  Huduma duni za afya, elimu hakuna mkopo.

  Ndo maana madaktari hawathaminiwi, nawaunga mkono madaktari.

  Wananchi wote tuwaunge mkono madaktari jamani.

  madaktari ni ndugu zetu, watoto wetu, dada zetu na kaka zetu.

  Madai ya madaktari ni ya muhimu kwa mustakabadhi wa afya za watanzania.

  Viongozi acheni kwenda nje kutibiwa, boresheni hospitali zetu, maslahi ya madokta na dawa.

  Watanzania wote tuwaunge madaktari mkono, tuhamasishane kwa sms

  Ikiwezekana tuingie barabarani wote.

  KJ 2458 mko wapi, wanajeshi chukueni nchi

   
Loading...