Tanganyika kuizunguka Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanganyika kuizunguka Zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chipukizi, Jan 26, 2012.

 1. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 429
  Trophy Points: 180
  Nasikia ya kuwa iwapo mipaka mipya ya Bahari inayoombwa na Tanzania Bara, iwapo itakubalika ,Then siku Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika ukaja vunjika(GOD FORBID) visiwa husika vitakuwa vimezungukwa na Tanzania water,kama vile ilivyo Namibia na Botswana kuzungukwa na South Afrika? Je nikweli?
   
 2. k

  kastarehe JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 231
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna Nchi inaitwa tanganyika wala zanzibar!
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Tanganyika ni nchi
   
 4. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  na juzi kati hapa tulisherehekea uhuru wake kwa kuchoma mabilioni kwa muda wa masaa tu.
   
 5. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  hayo ndio mawazo ya **** JUSA, lakini hakuna kitu kama hicho, soma UN Conversion on the Law of the Sea utaju
   
 6. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Hebu tuweke sawa kwanza hapo hizo nchi kwenye red zimezungukwaje na South Africa?
   
 7. Nang'olo Ntela

  Nang'olo Ntela Member

  #7
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
   
 8. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Tibaijuka weka ramani kuonyesha kile ulichoomba na sio kutaja ukubwa eneo uliloomba ili wananchi wajue ukweli.
  Kuwa muwazi na sio siasa kumbuka ardhi ni rasilimali za nchi.
   
 9. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tanzania au Tanganyika? mimi bado sijakupata maana muungano ukivunjika sijui kama kuna kitu kitakuwa kinaitwa Tanzania(Muungano wa Tanganyika na Zanzibar).
   
 10. zululima

  zululima Member

  #10
  Jan 26, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 11. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Napita tu ndugu zangu
   
 12. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #12
  Jan 26, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  visiwa vinazama hivyo sisi hatuvipigii hesabu hapo tunapigia hesabu eneo la wajukuu zetu la kuvulia samaki.
   
 13. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #13
  Jan 26, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,642
  Likes Received: 2,876
  Trophy Points: 280
  Acha tuwazunguke ili tuwadhibiti
   
 14. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #14
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  NCHI GANI MKUU?
  Kuna nchi ya Tanzania ambayo znz ni sehemu yake;hakunakitu kinaitwa Tanganyika kama vile mnatutaka tuamini!!!
   
 15. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #15
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Raisi wake ni nani?
  Waziri mkuu wake ni nani?
  Bendera yake ina rangi gani?
  Bunge lake linapatikana wapi?
   
 16. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #16
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280

  Wewe wataalam washakwambia hivyo visiwa vinazama wewe bado unakazana na ramani...we mwenyewe ushakimbilia huko uarabuni kabla hujazama baharini washauri na wenzio wakimbilie Oman mapema kabla mambo hayajaharibika!
   
 17. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #17
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hapo umezungumza,ni swala la kitanganyika zaidi hili
   
 18. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #18
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hawana ujanja 2tawazibiti 2, Rais mwenyewe tunawachagulia.
   
 19. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #19
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Uliza swali kama mtu aliyefuta ujinga! Pia fanya utafiti binafsi kabla ya kuropoka hadharani! Ukiuliza ujinga utajibiwa ujinga!
   
 20. Geraldo DaVinci

  Geraldo DaVinci JF-Expert Member

  #20
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 277
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  haha haya bana mambo ya global warming hayo
   
Loading...