Blandina S.J Nyoni afunga Vyuo vidogo vya Afya Viwili Mbeya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Blandina S.J Nyoni afunga Vyuo vidogo vya Afya Viwili Mbeya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUMBIRI, Jan 26, 2012.

 1. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wakati serikali inadai ina Nakisi kubwa ya wataalamu wa kada ya Afya na kuahidi kuongeza Idadi ya Vyuo Vidogo na Vikubwa ili kukabiliana na nakisi hiyo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Bibi Blandina S.J Nyoni amevifunga Vyuo vidogo viwili vilivyopo Mkoani Mbeya kwa kile anachodai ni kukabili ukata wa pesa unaoikabili wizara yake.

  Hivi karibuni amekuwa pia na mazungumzo na viongozi wa Chuo kingine Kidogo ambacho kipo ndani ya Compus ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kupanga tarehe ya kukifunga chuo hicho baada ya Mzabuni wake wa Chakula kugoma kutoa huduma ya Chakula baada ya limbikizo la deni na kuwa kubwa.

  Na kuna taarifa kuwa Mzabuni anaetoa huduma ya Chakula katika Chuo kingine kidogo cha Uuguzi Tarime ( Tarime Nursing Training Centre - NTC Tarime) ameuziwa nyumba yake na Benki ya CRDB baada ya kushindwa kulipa deni alilolikopa ili kusambaza Chakula kwenye Chuo hicho. Siku zote Blandina Nyoni anadai Wizara yake haina pesa wakati ameweza kununua Ving'amuzi vya Magari manne kwa Shilingi 1.3 Billion bila kufuata taratibu za manunuzi na kila mwezi amekuwa akituma mamilioni ya pesa kwenda kwenye Hospital za Nje kwa ajili kulipa madeni hewa ya Wizara hiyo.

   
 2. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kweli ukishangaa ya Musa utaona ya Tanganyika
  ndo maana yule mtalii mzawa alikiri hajui kwanini Tanzania ni masikini
   
 3. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Hayo ni majungu tu ya kijinga, mtu mwenye uelewa wa kanuni na taratibu za manunuzi ya serikali hawezi kufanya mambo ya kijinga kama unavyotaka sisi tuamini!! Anza upya tafuta majungu mengine lakini kwa hili umechemsha.
   
 4. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Ok tueleze ukweli ndugu otherwise wewe ndiye utakuwa mnafiki maana mpaka hapo sijaona mantiki ya ki-data juu ya upinzani wako. Haya endelea
   
 5. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu hapa hakuna Jungu wala Umbea. Huo ndio ukweli mtupu maana nipo kwenye System na najua kinachoendelea from A to Z! Tumia hoja kumtetea huyu Mama! Najua huwezi kuukata Mkono unaokulisha!
   
 6. p

  peter mlokota Member

  #6
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa c utoe data zako na c kupinga tu au unafikiria kwa kutumia masaburi kk??????
   
 7. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  muhimbili wameambiwa waanze kujitegemea maana mpaka sasa wanapikiwa chakula kilicholetwa kwa ajili ya wagonjwa. Any time watafunga!
   
 8. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  Sawa mkuu,naona kama unafahamu ukweli vile. Hebu funuka basi kuliko kupinga tu bila sababu.
   
 9. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Blandina akipona mwaka huu....basi hang'oki tena pale MoHSW!
   
 10. zimmerman

  zimmerman JF-Expert Member

  #10
  Jan 26, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 579
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 80
  Heh, hivi tunasonga au tunarudi nyuma? Hazina kubwa ya pesa aliyoacha Mkapa ilifungua vyuo kibao hapa nchini vikiwemo Mkwawa, Duce, n.k, sasa ona miaka sita baadae tunaanza kufunga vyuo!! Moja baada ya kingine. Namuonea huruma rais wa 2016.
   
 11. W

  We know next JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hivi huyu hajafutwa kazi bado? Si ndio huyu anawadharau madaktari??
   
 12. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #12
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Huyo mama ni generation ya Luhanjo, mkuu wa kaya hana ubavu. We jiulize amaboronga mara ngapi lakini anaendelea kupeta tu from one ministry to another, utadhani ni air hostess wa wizara bwana.

  Luhanjo na jairo ni kama uji na mgonjwa na mkuu wa kaya, hivyo kamwe hawezi kuwaangusha hao jamaa zake.
   
 13. M

  Massenberg JF-Expert Member

  #13
  Jan 26, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 1,173
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Blandina Nyoni anapiga dili za tenda za wizara na Juma Pinto, hakuna la maana zaidi ya hilo analolifanya pale.
   
 14. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #14
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Huo sasa utani mkuu! Usiniambie kuwa jamaa walikuwa wanawanyenga misosi wagonjwa aiseee! Kama ndo hivyo basi huenda wagonjwa wengine walikuwa wanakufa kutokana na unyafuzi na utapiamlo!
   
Loading...