Kuujadili Muungano ni Uhaini?

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,097
Mimi naona chokochoko za Zanzibar haziishi........kwa nini tusiujadili huu muungano kwa kura za maoni? MIMI NAONA NI WAKUBWA WETU TUU wanautaka huu kuungano.......sasa tuanzia hapa JF kuujadili kama haitakuwa ni uhaini
 
Back
Top Bottom