'Friends of Regia' kukutana DSM Kumuenzi Regia (27 Jan 2012) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

'Friends of Regia' kukutana DSM Kumuenzi Regia (27 Jan 2012)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sanctus Mtsimbe, Jan 16, 2012.

 1. Sanctus Mtsimbe

  Sanctus Mtsimbe Tanzanite Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 1,815
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160

  Baadhi ya Wana JF waliokutana katika Ibada ya Kumwombea Marehemu Mh. Regia Mtema Kanisa katoliki Segerea. Wana JF hawa wanapendekeza kuwa ipangwe siku maalumu hivi karibuni ambayo wana JF na Wadau mbalimbali watakutana British Council na kujadili yale yote aliyosimamia Regia na nini cha kuiga toka kwake na kufanya ikiwa ni njia mojawapo ya JF kumuenzi marehemu Mh. Regia Mtema. Tunapendekeza kuwa tukutane British Council siku ya Ijumaa Tarehe 27-01-2012 kuanzia saa 11jioni hadi saa 2 Usiku. Vinywaji na light foods vitakuwepo.

  Pia tutafanya maarifa kuwepo na Skype Conferencing ili waliopo nje ya Nchi watakaopenda kushiriki wafanye hivyo. Kwa kila anayeweza kuchangia kufanikisha Mkutano huu anaombwa awasiliane na Maxence.

  Kushiriki kwa Skype: Add the following ID: jamiiforums

  Updates:

  Waliothibitisha kushiriki kwa kuhudhuria British Council ni:

  1. Sanctus Mtsimbe
  2. Maxence Melo
  3. Josephine Mshumbusi
  4. The Finest
  5. Jason Bourne
  6. Feis Buku
  7. MwanajamiiOne
  8. Mani
  9. Pasco
  10. JF Marketer
  11. Twinky
  12. El toro
  13. LD
  14. MwaJ
  15. Petu Hapa
  16. Marhaba
  17. Gerrard
  18. Jiwe la Ukara
  19. Usininukuu
  20. Mchaga 25
  21. Mkono
  22. Froida
  23. Mabagala

  Waliothibitisha kushiriki kwa nja ya Skype Video/Voice Conference ni:

  1. Nyani Ngabu - skype
  2. AfroDenzi - Skype
  3. Mrembo by Nature - Skype
  4. Pretty - Skype
  5. Lizzy - Skype
  6. Duduwasha - Skype
  7. StraaKasyembe - Skype
  8. Mbimbinho - Skype
  9. Clemy - Skype
  10. Ritz - Skype
  11. Barubaru - Skype
  12. Mkatofa - Skype
  13. Smilling Saint - Skype
  14. Tiba - Sype
  15. Zion Daughter - Skype
  16. Gango2 - Skype
  17. Yo Yo - Skype
  18. Mbimbinho - Skype
  19. Mwanakijiji - Skype
  20. Peter Rabachi - Skype
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Rambirambi kwenye msiba vipi?
   
 3. Sanctus Mtsimbe

  Sanctus Mtsimbe Tanzanite Member

  #3
  Jan 16, 2012
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 1,815
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Rambi rambi kwa wana JF ziliendelea zilitolewa na kukabidhiwa kwa Maxe!
   
 4. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,455
  Likes Received: 756
  Trophy Points: 280
  Kuhusu mkutano, Nitajitahidi kuchangia kwa hali na mali kufanikisha mkutano huo pale nitakapohitajika kufanya hvo.
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Haina Shaka max ni Bitozi sana! Lol tukutane British council
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Jan 16, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Inauma sana kwa kweli. Marehemu alikuwa rafiki yangu na kifo chake kimenigusa sana.

  We shared a lot of laughter together. I'm trying my level best to keep my spirits up by cracking jokes here and there. Damn, I'll miss her tremendously.
   
 7. Sanctus Mtsimbe

  Sanctus Mtsimbe Tanzanite Member

  #7
  Jan 16, 2012
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 1,815
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Asante Mrembo by Nature. Mengine usijali ni utani tu.

  Je utafika pia? Niliorodheshe jina lako kuwa utafika?
   
 8. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Jamani wana jf siyo kila kitu Dar bwana kwanini isiwe Mwanza pale Gold Crest Hotel?
   
 9. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #9
  Jan 16, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,561
  Likes Received: 18,294
  Trophy Points: 280
  Asante Sanctus, mimi nilidhani kwa vile hajazikwa, jf tunajadiliana tushiriki vipi?. Kumbe tunapanga kumuenzi! kumzika jee?.
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Shida ya Golden Crest beer TShs 3000 !
   
 11. Sanctus Mtsimbe

  Sanctus Mtsimbe Tanzanite Member

  #11
  Jan 16, 2012
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 1,815
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  NN, Utashiriki vipi Mkutano? Utapenda kufanya Skype Conferencing?
   
 12. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #12
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280

  sisi ambao tunamjua marehemu hapa jamvini imetuuma sana kwa kweli..
  kwa nyie ambao mlikuwa marafiki wa karibu.. I cannot imagine what your going through right now..

  you know is nothing much we can do now..
  Tukumbuke mazuri yote aliyotuachia.. To be compliantly honest ni mengi sana aliyotuachia..
  Special Pole to you NN....
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Jan 16, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Halafu bado nakudai hela zangu ujue?

  Kuhusu ushiriki, ningependa kushiriki kwa Skype. Nipe details zaidi.
   
 14. Sanctus Mtsimbe

  Sanctus Mtsimbe Tanzanite Member

  #14
  Jan 16, 2012
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 1,815
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Asante sana MbN. Nakuomba uchangie na wasiliana na Maxe. Je utashiriki vipi? Physically or Skype?
   
 15. Sanctus Mtsimbe

  Sanctus Mtsimbe Tanzanite Member

  #15
  Jan 16, 2012
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 1,815
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Rev. unaconfirm utakuja nikuorodheshe? Au utashiriki kwa Skype?

  Please mchango pitisha kwa Maxe.
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Jan 16, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Unaweza kumkabidhi Max Mubyazi zile hela nnazokudai?
   
 17. Sanctus Mtsimbe

  Sanctus Mtsimbe Tanzanite Member

  #17
  Jan 16, 2012
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 1,815
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Mkuu Pasco, bila ya shaka kuna Thread zinazohusiana na hilo. Kuna Wana JF wengi tu walienda Tabata, leo nimewaona wengi pia Msibani, Karimjee kesho watakuwepo na Ifakara pia. rambirambi wengi wanaendelea kutoa, picha za msiba pia umeziona.

  Ni namna gani tushiriki zaidi? Na kuna ubaya gani kuzungumzia mipango ya Kumuenzi?
   
 18. Sanctus Mtsimbe

  Sanctus Mtsimbe Tanzanite Member

  #18
  Jan 16, 2012
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 1,815
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Ni wazo jema pia. Wa Mwanza mnaweza kukutana. so far JF Arusha ndo wametia fora kwa kukutana. Thanks PJ.

  Wa DSM ukiacha wana MMU bado hatujawahi kukutana.
   
 19. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #19
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mkuu ingekuwa vema kama ungeweka hiyo skype account hapa ...
   
 20. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #20
  Jan 16, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,455
  Likes Received: 756
  Trophy Points: 280
  Nitashiriki kwa skype, so unaweza andika jina langu na kunipa taarifa za kila hatua ya mipango hii
   
Loading...