Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
Mgomo wa madaktari umeshika kasi kila kona ya nchi hususan katika hospitali kubwa kubwa hapa nchini na zile za mokoa.
Hali hii inaelezwa ni katika kutekeleza lengo la kuandamana ambalo serikali imelipiga marufuku,.
Njia pekee ni kugoma kwani hakuna askari,hakuna mabomu wala virungu.
Pinda ataweza kulitatua hili?
Itakuwa ni kipimo chake kujiwekea historia kabla ya 2015?