CHADEMA kuwasha moto Kibaha leo

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Chama cha Demokrasia na maendeleo (CDM) leo kitakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara hapa Kibaha mkoani Pwani. Lengo la mkutano huo ni kutoa elimu ya uraia kuhusu Katiba,kuingiza wanachama wapya na kueneza sera za Chadema.

Viongozi watakaohutubia katika mkutano huo ni Wabunge Joseph Mbilinyi (Sugu),Mchungaji Peter Msigwa na Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Heche.

Mkutano huo ulikuwa ufanyike siku aliyokufa Regia Mtema lakini ukaahirishwa.
 
Very good, karibuni SONGEA!
 
Back
Top Bottom