Maandamano makubwa ya kuunga mkono hoja ya Jussa yaja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano makubwa ya kuunga mkono hoja ya Jussa yaja

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by thatha, Jan 28, 2012.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Kuna taarifa kwamba maandamano makubwa ya wananchi wa zanzibar ya kuunga Mkono hoja ya Jussa aliotoa baraza la wawakilishi ili kuonesha Umoja na Mshikamano
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  maandamano mema
   
 3. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Tibaijuka ni waziri wa Ardhi Tanganyika, Baharini anafuata nini?

  Umbeya wake na hashuo tu vinamuwasha.
   
 4. t

  thatha JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  taire. kama hii ni kweli ni pigo kubwa sana kwa Tibaijuka
   
 5. l

  le comparable Member

  #5
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana ham na mabomu na virungu hao
   
 6. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  ......pigo kubwa kwani hizo maili 350 ni kwa matumizi ya familia yake? shirikisha na ubongo wako pia.
   
 7. t

  thatha JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  sio wakati wa makapa sasa. Polisi wa bara washaondoshwa zanzibar
   
 8. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  Jussa ni mtu hatari sana kwa mtu asiyejua kuchambua mambo.

  Nimefuatilia video zake na matamshi yake kwakweli kwa great thinker yeyote atakubaliana nami ya kuwa huyu jamaa anamalengo binafsi kwa faida zake yeye au kikundi fulani, amekuwa akipotosha mambo kwa makusudi kwakujua uelewa mdogo wa anaowahutubia ambao ndio % kubwa ya wazanzibar kwa kupandikiza chuki dhidi ya watanganyika.

  Tusipomuangalia huyu mtu na matamshi yake tutapigana siku si nyingi.

  Hapa ndio namkumbuka mwalimu, mtu kama huyu sasa hivi angekuwa kigamboni
   
 9. t

  thatha JF-Expert Member

  #9
  Jan 28, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  kwa niaba ya tanganyika
   
 10. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  unaifahamu mipaka ya tanganyika? ya watanzania tuachie watanganyika na wazanzibar, wewe endelea na siasa za oman halafu hata katiba hairuhusu raia wa nje kuingilia siasa za taifa jingine. Tafadhari iheshimu katiba yetu
   
 11. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #11
  Jan 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  ng'weee
   
 12. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Litakuchwea na hashuo lako na Tibaijuka kutaka kuibia Znz rasilimali yake ya Ardhi.

  Utajiju lazima Prof ajiuzuru tu kwani hata Un Hab nairobi alilikoroga kama hivi na walimpunguzia madaraka kabla ya kuachia ngazi.

  Je haulijui hilo. au alifikiri anaongeza ziwa victoria?

   
 13. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #13
  Jan 28, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Umesha waongesha watoto wa boss wako...
   
 14. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #14
  Jan 28, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Kwanza kwanini leo hawajawakumbuka walipigwa risasi na Mkapa kipindi kile wanaanza kurukia mengine....
   
 15. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #15
  Jan 28, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kwa sababu anatetea haki za waznz zinazotaka kuporwa na Tibaijuka na wenzake.

  Hakika kumbuka Znz ya leo sio ile ya 80's au 90's ni kizazi kipya hata JKN angekimbia. Kwani muungano ni kama koti tu likikuchosha unalivua na kuliacha kbisaaaaa.

   
 16. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #16
  Jan 28, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,315
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Jussa hawezi kuwa mtu hatari, watu hatari ni hawa watanganyika ambao pamoja na matusi wanayorushiwa kila siku wameng'ang'ana na muungano usio na faida kwao.
   
 17. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #17
  Jan 28, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jussa kuna kitu anakitafuta, na atapewa sasa hivi .......
   
 18. KIRUNGI

  KIRUNGI Member

  #18
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Çuf ishaumbuka na porojo zake;shulikieni kwanza kushusha bei ya mapembe.hilo la mipaka msemaji wa znz ni shein;ambaye kisha ridhia.
   
Loading...