Viongozi wa cuf tumieni uchaguzi mdogo wa ARUMELU kumjibu Hamad kwa vitendo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa cuf tumieni uchaguzi mdogo wa ARUMELU kumjibu Hamad kwa vitendo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KIRUNGI, Jan 28, 2012.

 1. KIRUNGI

  KIRUNGI Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumekuepo na mabishano kati ya baadhi ya viongozi wa cuf na mbunge wa Wawi mhe Hamad Rashid,wakati mmoja hamad akidai chama cha cuf kimekufa bara,viongozi wakisema hakijafa.Huku maalim seif akitolea mfano kwamba cuf bado iko ngangari bara nakama watu hawajui waende kwimba watakuta kuna madiwani wanane toka cuf.mm naweka hoja mezani ili kujua uhai wa cuf bara upo au haupo ni cuf kwenda ARUMELU,ikiwa wataweza alau kufikisha kura 3000,itatosha kujibia uwepo wa uhai wa cuf bara
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu wangu CUF haina hata ofisi mkoa mzima wa Arusha.Wao wamejikita Pemba tu.Sidhani kama Arumeru wanajua kuna chama kinaitwa CUF
   
Loading...