Serikali iwe serious | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali iwe serious

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MASHOW, Jan 28, 2012.

 1. M

  MASHOW Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kitendo cha serikali kuendelea kupuuza mgomo wa madaktari na hatimaye nduguzetu kupoteza maisha ni kwamba kweli hawana fedha au hawana uchuungu na watz?Ifikie mahali serikali itenganishe SIASA NA MASUALA YA MAENDELEO NA HUDUMA ZA JAMII.mwito wangu ni kwa wale viongozi walio humu ndanii kuwashauri wakuu wao juu ya hili kwani ccm inaendelea kujichimbia kaburi
   
 2. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  mkuu hapo ndo wako serious mpaka mwisho.
   
 3. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  wala haagui kwa bata
   
Loading...