Chadema jipangeni kuchukua jimbo la Sengerema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema jipangeni kuchukua jimbo la Sengerema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by HByabatto jr, Jan 27, 2012.

 1. H

  HByabatto jr Senior Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakati ikijiandaa kuchukua nchi 2015,ni vyema sasa CDM ikaanza kuweka mikakati madhubuti ikiwa ni pamoja na kuongeza idadi ya wabunge.Jimbo la sengerema nalo tumechoshwa na ulaghai wa chama tawala.Ngereja ameshindwa kazi!
   
 2. BabaH

  BabaH JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 703
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  ngeleja ni chai ya kufa mtu
  huyu jamaa anabebwa sana na chama na viongozi wengine
  ila yeye kama yeye, uwezo wake ni mdogo sana
   
 3. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60
  chadema sasa ni vema ikajiandaa kuchukua karibu kila jimbo sio sengerema tu
   
 4. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,356
  Trophy Points: 280
  kuongea hajui,vitendo zero,..lipo lipo tu ova zombie
   
 5. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,077
  Likes Received: 10,437
  Trophy Points: 280
  kweli chadema inatakiwa kujiandaa kuchukua kila jimbo.
   
 6. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kwa Sengerema ni ndoto na ndoto kuichukua nchi 2015. Nchi haichukuliwi kwa vipande vya karatasi vinavyo tumbukizwa kwenye makasha , ni zaidi ya hivyo.

   
 7. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mi nilidhani kafa mtu!
   
 8. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hata wewe mwenyewe ni chadema so na jiandae
   
 9. H

  HByabatto jr Senior Member

  #9
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Da Angel Msoffe, ni afadhali jimbo lingekaa bila mbunge kuliko ilivyo sasa! yaani hali inatisha.
   
 10. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mi nilidhani mtu keshakula vumbi?
   
 11. H

  HByabatto jr Senior Member

  #11
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa wabunge ina ya NGEREJA wanatakiwa wapigwe chini live siyo mpaka wafe ndo jimbo lichukuliwe.Hii italeta changamoto kwa viongozi wengine wanaopewa madaraka huku wakiwa hawana uwezo wa kuongoza!
   
 12. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Wapiganaji wetu Sengerema, Uzini Zanzibar pamoja Arumeru Mkoani Arusha, kwa kinywa kipana sana tumewasikia sauti zenu huko. Kama kawaida 'Jeshi' letu la BAVICHA, BAWACHA pamoja vijana wote wapenda mabadiliko jimboni hapo ndio kama hivo wanaingia kazini.

  Moto mkubwa ajabu kuwaka kisiasa huko hivi karibuni.

   
 13. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #13
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mimi huku Iramba mashariki moto nimeshauwasha. Take part to play
   
 14. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #14
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  He! Mkuu mbona unanistua??? Kumbe siyo kwa kura bali ni zaidi ya hivyo!!!!
   
 15. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #15
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Na kwa mitazamo kama hii kwamba serikali haiwezi kupatikana kwa KURA ZA WANANCHI; hapo ndipo kamba itakapokatikia mchana kweuuuuupe kwani safari hii HACHAKACHULIWI MTU na CCM wananchi wakakubali tena.

  Hakika mara hii kunakoelekea 2015 kwenye chaguzi zetu kazi ya ulinzi wa kura itakua ni jukumu namba moja ya mpiga kura mwenyewe na bila shaka hili litakua mikononi mwao wenyewe wapiga kura wenyewe mpaka kieleweke kwa kufuata mtindo mpya waliotuletea ndugu zetu wa Mkoa wa Mara.

  Kwao wao baada ya kupiga kura ni kwamba unabakia palepale kituoni ila tu wanachofanya ni kupiga tu hatua 20 kurudi nyuma lakini macho yote kwenye kisanduku cha kura mpaka siku matokeo yanavyotangazwa.

  Ujambazi wa CCM kuiba kura tayari iko mitaani; hakuna sheria inayomlazimisha mpiga kura arudi nyumbani akishapiga kura na kuacha haki yake ya kuchagua ikichakachuliwa.

  Sheria inatuelekeza tukae hatua kadhaa kutoka kilipo kile kisanduku cha kura basi, mengine yote ni ulaghai tu wa CCM.

   
 16. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #16
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Jsaudi umeonaeeee
   
 17. mjombo's

  mjombo's JF-Expert Member

  #17
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ngeleja is in his final moments no longer ngeleje 2015
   
 18. R

  Ramso5 Member

  #18
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kumbe ni zaidi ya kura.Sasa naanza kupata picha ni kwa nini Ngeleja alipata ubunge bila kupingwa.Uchaguzi ujao ndio mwisho wake,mbinu zote tunazijua.Akamuulize Masha alivyoangukia pua kwa Wenje pamoja na mahela yake.Huo mchezo mchafu kwa ngeleja ni kawaida yake.Mwanza ana kashfa ya kutumia mchezo mchafu kutaka kupora nyumba kwa nguvu ili kuweka maegesho ktk hotel yake ya mabilioni ya pesa.Viongozi kama hawa ni mzigo kwa taifa,wanalazimisha kuwa mdarakani ingawa wananchi hawawataki
   
 19. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #19
  Jan 27, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hilo jimbo kagombeeni tu kwani 2015 geleja anampango wa kugombea urais.
   
 20. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #20
  Jan 27, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wakuu kwa Sengerema wala msihofu,BAVICHA tuko kazini long time,mashambulizi yanaratibiwa kwa karibu sana na BAVICHA Geita pia ilikutoa msukumo zaidi na juzi kati hapa wabunge wote wa cdm toka Mwanza Wenje na Highness tulikuwa nao Sengerema na tulivuna wanachama wapya 52,kwa ujumla Sengerema itakuwa ngome ya cdmn soon,Ngereja na ccm watabaki hisitoria.There is nothing to worry about
   
Loading...