Aibu ya Tanzania nje ya Mipaka

Aibu ya Tanzania nje ya Mipaka

Mkiliman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Posts
984
Reaction score
345
  • Wadau someni hapa, jamaa wanajadili vitu mbalimbali hasa kutokana na Mkutano unaoendelea kule mjini Davos, Uswisi. Nimechukua sehemu hii ambayo inahusu zaidi Tanzania na waliojadili wengi inaonyesha ni hao mabwana ambao Kikwete anakwenda kuomba misaada.

    RichardBrunwick
    26 January 2012 2:33PM

    Tanzania's Kikwete is one of the most pathetic African leaders of our times. He is a peacetime leader for a country known to be one of the richest in the world in terms of natural resources, yet he leades the world with begging. Foreign companies have known Tanzania to be a free land in which you can go in and take all you can without being asked a question. I really don't get the mind set of its leaders especially their prsident Mr. Kikwete, a Muzungu worshiper. Having worked with the UNDP in that country for 8 years, I realized how inneficient and corrupt the country's leadership is. His ministers that requested bribes from BAE have never been tried despite the damning evidence against them. British TAX payers must stop funding this man's corruptin and foreign trips. His human rights record is horrible. Mr. Kikwete had no business of going to Davos to ask for foreign aid. Already his country is the world third leading foreign Aid dependant nation. He should be embarassed to say to the world that people are poor. His people living "hand to mouth " is his own is own ignorance and stupidity.That is hiw own problem, Brits are having their own problems he must realize that. We cant bankroll his foreign trips. He should make good use of his country's wealth. Instead of letting his corrupt officials and foreigners loot his country, he needs to think before letting himself be a global loughing stock. I read in one of the regional (kenyan) publication the mockery nature related to his frequent foreign trips. Palestinian, Haiti, Lebanon, Somalia and even Rwanda economies are more robust that of Tanzania. We must question the nations that welcomes this "Joker's" request for AID. He needs to be on a "no-fly" list so he can be serious. Hopefully the billionaires questions what he has done with the Money he has received for decades. The Arab spring should turn into the African summer and get rid of the Kikwete likes

  • no-user-image.gif
    LindaCroucher 26 January 2012 3:50PM

    Response to RichardBrunwick, 26 January 2012 2:33PM
    This man did not deserve to be a head of state. He has no credibility. How can a head of state be bribed suits? We must write Downing Street and our parliament, and let them know that Aid to some of these african countries ought to STOP. nyerere the founding president of tanzania was a visionary even though his socialist policies failed, but he was a nationalist and a true patriot.
    Kenya, Rwanda, Ghana have seen far and are on the roll to economic dependence. Kikwete, and his chrony of rulling elites getting richer and richer. These people have no electricity yet the country has so many dams and rivers. There should be a policy to bar all corrupt leaders and their children from stepping into the EU.
    I dont blame Kikwete, i blame Tanzaians for letting this happen. They should be 100% responsible for their poverty and suffering. We just dont need them to come for Aid. We have many Brits out of work, and that money should pay for their Unemployment Benefit

  • no-user-image.gif
    LindaCroucher 26 January 2012 4:01PM

    African problem is more than foreign aid. They are not ready for economic transformation. In Tanznaia today, they have started the leadership inheritance in which the old guards passess on the torch to their children. we should not expect anything serious from African nations. If it means our money, lets cut it off. We have so many social problems to deal with people's own created misery
    because they will never have free elections without someone stffing ballot boxes and ready to let the whole country in flames as long as they remain in power and their children in top american and british schools

  • no-user-image.gif
    Heretica 26 January 2012 4:34PM

    Austerity Suggestion

    Couldn't they all just have stayed at home
    and perused each other's tabloids?

    • Recommend? (0)
    • Responses (0)

  • no-user-image.gif
    AltaVista1 26 January 2012 7:32PM

    @Richard, The issue with Tanzania president is not a British issue or a global issue. It is a Tanzania voter’s issue. They have let this man continue with corruption and impunity. Those in diplomatic circles especially in the US state department are privy of the matter and very disgust with Kikwete. He is not a serious leader and the chatter in Washington about his endless lavish foreign trips is not flattering. He is an embarrasment to his country and african leaders

    He has literally sold his country and done nothing to combat corruption. Nepotism has risen; those in power ensures they slot in their children in sensitive positions before they retire. Currently, 15% of Tanzania government leadership is made of sons and daughters of those that once ruled or still in power.
    I see Tanzania in the line of Tunisia and Egypt very soon, and won’t lose sleep if this man is ousted, we just don’t want him in America. UK, you can have him. Our cabinet secretaries take subway, their ministers in expensive land cruisers. Not with our tax dollars. I learnt through secret channels that one of his associates transported a Range rover in a cargo plane to Tanzania
    Then go around and say “Hand to Mouth”???????? Comment from a whole president to his fellow world leaders? can he ask himself why???
    Davos main goal is to discuss Euro crisis not African problems and this president should have known that, because at the end of the day he will be leaving bare handed.

  • 26 January 2012 11:58PM
    http://www.guardian.co.uk/discussion/user/AlcoholicSnr
    Kikwete and Zuma are retards. they are morons, shame on them Atleast Zuma was reading from the script! Why do they look for aid, I thought their african countries are richer than ours. why come to us for aid? the corrupt Tansania president could not answer an educational question? what a pity! and he has just started a second term? let me yawwwwwn

http://twitter.com/jonathanwatts/statuses/162849947362918400

My take: HALI HII SIO NZURI HATA KIDOGO, KWANI UJINGA WA WATU WACHACHE NDANI YA NCHI HAUWEZI KUSABABISHA SISI SOTE TUONEKANE VICHAA. Jk na mashoga zako huko serikalini mnatuumiza sana wananchi wa Tanzania.

Look: NO employment, prices are hiking in every corner, tough environment, poor in everything being done out here. What do you want people to do with all these mother****en disturbances and hardship, myself i hate you and your people so MUCH.
 
Sorry guys. Si ujinga wake hasa. Ni ujinga wetu watanzania. Nyerere hakuwa mtu mwenye chuki binafsi. Aliona mbali. Hata makazini kama wewe ni supervisor unaweza kuwajua watu wako wote. Utaweza hata kufahamu kuwa kama ungekwenda likizo ni nani angeweza kufanya kazi seriously na ukakuta ofisi ikisonga mbele na nani hawezi. Hata kwenye familia yapo. Watoto hawawezi kulingana uwezo wa kufanya kazi na hata kufikiri. Sisi ndiyo wa kulaumiwa na si yeye. Alimaliza kipindi chake cha kwanza na the same sisi tukamuongezea. Nani alaumiwe? Ni aibu sana kwa kuwa wanayosema yanaumiza. Ukweli mchungu.
 
RichardBrunwick
26 January 2012 2:33PM

Tanzania's Kikwete is one of the most pathetic African leaders of our times. He is a peacetime leader for a country known to be one of the richest in the world in terms of natural resources, yet he leades the world with begging.

Foreign companies have known Tanzania to be a free land in which you can go in and take all you can without being asked a question. I really don't get the mind set of its leaders especially their prsident Mr. Kikwete, a Muzungu worshiper.

Having worked with the UNDP in that country for 8 years, I realized how inneficient and corrupt the country's leadership is. His ministers that requested bribes from BAE have never been tried despite the damning evidence against them.

British TAX payers must stop funding this man's corruptin and foreign trips. His human rights record is horrible. Mr. Kikwete had no business of going to Davos to ask for foreign aid. Already his country is the world third leading foreign Aid dependant nation.

He should be embarassed to say to the world that people are poor. His people living "hand to mouth " is his own is own ignorance and stupidity.That is hiw own problem, Brits are having their own problems he must realize that.

We cant bankroll his foreign trips. He should make good use of his country's wealth.

Instead of letting his corrupt officials and foreigners loot his country, he needs to think before letting himself be a global loughing stock. I read in one of the regional (kenyan) publication the mockery nature related to his frequent foreign trips.

Palestinian, Haiti, Lebanon, Somalia and even Rwanda economies are more robust that of Tanzania. We must question the nations that welcomes this "Joker's" request for AID.

He needs to be on a "no-fly" list so he can be serious. Hopefully the billionaires questions what he has done with the Money he has received for decades. The Arab spring should turn into the African summer and get rid of the Kikwete likes.

Inauma sana jamani kusoma maneno kama haya hapo juu, daahi!!!!!!
 
Katika hali ya kawaida haiingii akilini kuona Mods wanaiacha hii thread iliyojaa uchochezi na kutengeneza chuki kwa watanzania dhidi ya Kiongozi mkuu wa nchi. Huyu anayejiita RICHARD BRUNWICK hajawahi hata kufanya kazi nchini Tanzania katika ofisi za UNDP. Hilo mimi nimelithibitisha. Haya anayoyaandika sijui kayatoa wapi na ninapata kufikiri kuwa anatumika pengine na baadhi ya watu (watanzania) wenye chuki na utawala wa JK. Ondoeni bana.
 
Tufike mahali watanzania tukubali kuwa nchi yetu ni masikini na tunahitaji kujenga uchumi wetu kwa nguvu za pamoja. Hizi fikra tunazokuwa nazo za kuwachukia viongozi wakuu wa nchi hususani JK hazitusaidii na wala hazitatufikisha kokote zaidi ya kubaki kurumbana bila tija. Pia lazima tutambue kuwa haya tunayoyaongea ni ya kutuaibisha wote kwa ujumla wetu na si vinginevyo... Wapo watu wanazungumza kana kwamba wao si watanzania wakati wao ni kizazi cha uzao wa nchi hii kuanzia miaka mingi iliyopita. Kati yao na pengine walio wengi ni wale waliosomeshwa na kushika nafasi katika mashirika ya umma waliyoyaangamiza lakini leo wanamlalamikia JK.

Tufike mahali tujiulize wenyewe hayo magari mnayoyaendesha na hizo shule za kifisadi mlizosoma, ni JK aliiba na kuwapa? Kwa nini hamkubali kuwa ni baba zenu hao hao waliiba na kuyamaliza mashirika ya umma miaka mingi iliyopita pengine huyu JK akiwa hajaanza hata shule ya msingi huko Msoga lakini leo zigo lote la lawama tunamtwisha yeye.

Binafsi namuona mtu yeyote aliyetayari kuidhalilisha nchi yake badala ya kuipigania kuwa ni mpumbavu na hana uzalendo kitu ambacho ni hatari kwa amani, umoja na ustawi wa taifa lolote lenye sifa kemkem kama Tanzania.
 
Wanamuönea wivu jk kwakuwa ye ni handsome watuachie rais wetu kipenzi
 
Ingesaidia kama ungetuonyesha busara zako kwa kukanusha hayo yaliyoandikwa ukitumia vithibitisho, other than that tambaa.
 
Inauma kutukanwa jamani, Inaniuma sana kuona tunatukanwa sasa wananchi kutokana na ubaazazi wa huyu mtu. I can't be proud infront of my friends anymore as before only because naogopa kuitwa MORON? Kikwete ulipotufikisha Mungu mwenyewe ndo anajua 🙁
 
Katika hali ya kawaida haiingii akilini kuona Mods wanaiacha hii thread iliyojaa uchochezi na kutengeneza chuki kwa watanzania dhidi ya Kiongozi mkuu wa nchi. Huyu anayejiita RICHARD BRUNWICK hajawahi hata kufanya kazi nchini Tanzania katika ofisi za UNDP. Hilo mimi nimelithibitisha. Haya anayoyaandika sijui kayatoa wapi na ninapata kufikiri kuwa anatumika pengine na baadhi ya watu (watanzania) wenye chuki na utawala wa JK. Ondoeni bana.

We F.ALA nini, kwani si tulimtuma atufikishe hapa tulipo? Kwa maoni yangu naona.hii sredi kaandika mwenyewe huyo unaemwita JK jr. Shame on him and his Governance
 
Kikwete and Zuma are retards. they are morons, shame on them Atleast Zuma was reading from the script! Why do they look for aid, I thought their african countries are richer than ours. why come to us for aid? the corrupt Tansania president could not answer an educational question? what a pity! and he has just started a second term? let me yawwwwwn
Nimeipenda sana hapo kwenye hiyo rangi ya bluu,jamani waambie ukweli wanatutia aibu.
 
nami pia nimekuwa nikiwaza na kumlaumu Mwalimu lakini kitu nilichogundua karibuni, ukisoma maandiko yake na kumsikiliza ni kama alitoa maelezo ya kutosha juu ya future ya nchi lakini pia alijua sisi aliokuwa akitueleza ni watu wa aina gani!

Na sio ajabu kukuta kuwa 1995 aliamua 'kwenda front' mwenyewe kwa vile alishajua kuwa 'watu wake ' wanapenda zaidi maneno matamu.
Sorry guys. Si ujinga wake hasa. Ni ujinga wetu watanzania. Nyerere hakuwa mtu mwenye chuki binafsi. Aliona mbali. Hata makazini kama wewe ni supervisor unaweza kuwajua watu wako wote. Utaweza hata kufahamu kuwa kama ungekwenda likizo ni nani angeweza kufanya kazi seriously na ukakuta ofisi ikisonga mbele na nani hawezi. Hata kwenye familia yapo. Watoto hawawezi kulingana uwezo wa kufanya kazi na hata kufikiri. Sisi ndiyo wa kulaumiwa na si yeye. Alimaliza kipindi chake cha kwanza na the same sisi tukamuongezea. Nani alaumiwe? Ni aibu sana kwa kuwa wanayosema yanaumiza. Ukweli mchungu.
 
Hawa ni WAINGEREZA Wanachukia hawapewi 1st priority kama wazungu wa nchi zingine kama vile Waustralia, Waswedish, South Koreans...

Waingereza wana double deep re-cession they need our gold diamonds coal not to go to the chinese

LET THEM SAY ndio maana hawatupi VISA Kirahisi wana mgomo baridi
 
ndio uongoz wa nazi huo, km naz inaongoza wat du yu expect
 
Hawa ni WAINGEREZA Wanachukia hawapewi 1st priority kama wazungu wa nchi zingine kama vile Waustralia, Waswedish, South Koreans...

Waingereza wana double deep re-cession they need our gold diamonds coal not to go to the chinese

LET THEM SAY ndio maana hawatupi VISA Kirahisi wana mgomo baridi

duu we ndo mtambo kabisa.hujui unachosema.
pole
 
Katika hali ya kawaida haiingii akilini kuona Mods wanaiacha hii thread iliyojaa uchochezi na kutengeneza chuki kwa watanzania dhidi ya Kiongozi mkuu wa nchi... Hilo mimi nimelithibitisha. Haya anayoyaandika sijui kayatoa wapi na ninapata kufikiri kuwa anatumika pengine na baadhi ya watu (watanzania) wenye chuki na utawala wa JK. Ondoeni bana.

Wewe umeona chuki na uchochezi tu? Hujaona hata chembe ya ukweli uliomo ndani ya huo "uchochezi"!
"Miafrika ndivyo tulivyo," NN.
 
Kikwete and Zuma are retards. they are morons, shame on them Atleast Zuma was reading from the script!... Why do they look for aid, I thought their african countries are richer than ours. why come to us for aid?[/COLOR] the corrupt Tansania president could not answer an educational question? what a pity! and he has just started a second term? let me yawwwwwn
....[/QUO
Linda ametutwisha mzigo wote WaTz kwa kumchagua tena awamu ya pili, lkn laiti angejua!
 
This guy is obviously not a native english speaker, you can tell by the high number of simple grammatical errors. I wouldn't be surprised if he was a Tanzanian or some other African.

None the less his points are valid and i completely agree with him.
 
Katika hali ya kawaida haiingii akilini kuona Mods wanaiacha hii thread iliyojaa uchochezi na kutengeneza chuki kwa watanzania dhidi ya Kiongozi mkuu wa nchi. Huyu anayejiita RICHARD BRUNWICK hajawahi hata kufanya kazi nchini Tanzania katika ofisi za UNDP. Hilo mimi nimelithibitisha. Haya anayoyaandika sijui kayatoa wapi na ninapata kufikiri kuwa anatumika pengine na baadhi ya watu (watanzania) wenye chuki na utawala wa JK. Ondoeni bana.

Wazo potofu, Sio mpaka atumie jina lake halisi au account yake, pili huna influence kiasi hicho cha kuwatambua wote waliofanya kazi nchini, swali tumuamini nani, wewe?
Tatu, aliyoaddres ni ukweli mtupu, tuwe wakweli acha majibu mepesi kwenye hoja muhimu na nzito.
 
Mungu inusuru Tanzania, kwa ukweli usiopingika tuendako si kuzuri kabisaa. Hata yasingeandikwa hayo hapo juu, bado hatuwezi kupinga ukweli kwa nchi inaenda mrama, Na km hakutakuwa na sudden change kwa viongozi wetu na dhamira ya dhati ya kulinusuru taifa 2015 haitafika
Simple examples, umeme unapanda, maji yanapanda, mfumuko wa bei unakua kwa kasi kila uchao, thamaini ya shilingi inazidi kushuka, in other hand, tuna madini lukuki, tuna maliasili na vivutio vya utalii kedekede, bado tunaabiwa TRA wanakusanya kodi zaidi ya malengo yao. Yote hayo mshahara wa mtumishi uko pale pale, hauongezeki kulingana na hali halisi.
Then utasema RAIS anaonewa anapobezwa? Then utasema wanaomsaidia wako serius kweli? Na je peas zinazopatikana ktk kodi, TRA, utalii, maliasili, madini n.k zinaenda wapi?
Ni sawa tu wakimbeza na ni sawa tu tukiambiwa tulikosea kumweka madarakani tena. Na ni sisi ndo tunatakiwa kuweka strategies za kumuondo kabla hatujaanguka kabisa.
 
Katika hali ya kawaida haiingii akilini kuona Mods wanaiacha hii thread iliyojaa uchochezi na kutengeneza chuki kwa watanzania dhidi ya Kiongozi mkuu wa nchi. Huyu anayejiita RICHARD BRUNWICK hajawahi hata kufanya kazi nchini Tanzania katika ofisi za UNDP. Hilo mimi nimelithibitisha. Haya anayoyaandika sijui kayatoa wapi na ninapata kufikiri kuwa anatumika pengine na baadhi ya watu (watanzania) wenye chuki na utawala wa JK. Ondoeni bana.

Hata ukimeteta vipi lakini ukweli unabakia ukweli tu, Kikwete is usless president we never have in Tanzania na niaibu kusema au kuwa proud na rais kama Kikwete. VGL inaelekea upo kwenye system ya kutafuna kodi za Watanzania au upo kwenye ufisadi na unafaidika na utawala wa kichovu wa Kikwete.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom