Rais JK afanya maongezi na waziri mkuu wa uingereza David Cameron mjini Davos

nickname

JF-Expert Member
Dec 20, 2009
544
147
PICHA :JK AKUTANA NA KUFANYA MAONGEZI NA WAZIRI MKUU WA UINGEREZA DAVID CAMERON MJINI DAVOS

Rais Jakaya Kikwete akiwa na Waziri Mkuu wa Uingereza Bw. David Cameron walipokutana mjini Davos pembeni mwa Kongamano la Uchumi la Dunia jana Januari 26, 2012. Picha na Ikulu
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Jamani JK vp tena?! Walikua wanajadili nini tena au ndo anamtaka radhi baada ya kukutaa sera zake za ushoga ninawasiwasi na mada waliyokua wanataka kujadili!!!.
Anyway usilojua ni sawa na usiku wa giza!!!
 
pengine picha tu hiyo si unajua usanii wa salva,mazungumzo na jk wadiscuss nini?
 
mmhm, isijekuwa, lakini, ....Mungu apishe mbali!
Jamani JK vp tena?! Walikua wanajadili nini tena au ndo anamtaka radhi baada ya kukutaa sera zake za ushoga ninawasiwasi na mada waliyokua wanataka kujadili!!!.
Anyway usilojua ni sawa na usiku wa giza!!!
 
Hivi MARA J.K AKATANGAZA KUKUBALIANA NA CAMEROON ili kunusuru uchumi wa TZ, what are you going to do?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Rais wetu au watu alioenda nao huko Davos sio makini. wamemsema vibaya sana mpaka aibu hata mimi naona, lakini yeye JK na wasaidizi wake hawajaona ubaya wa hili bado anaomba kupiga nao picha. hebu soma hapa
attachment.php
 
Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu itoa press release juzi na kusema kuwa moja ya mambo yanayompeleka rais Kikwete Davos ni kukutana na 'watu mashuhuri'. Naomba niishie hapo. lazoma ni-frame hii picha kwa ukumbusho wa watoto wangu!
 
Wangekuwa wanatujuza basi hayo mazungumzo yao yalikuwa yanahusu nini coz kama siyo private ni public basi ni haki yetu kujua isije kuta anamwambia kuwa Tumekubali Masharti yake? Hivi haya anayoongea huo wananchi wamemtuma au yeye anawasemea wananchi ambao hawaitaji hicho anachokiomba?
 
Lakini kwenye hiyo picha kama JK kalazimishwa kushikwa mkono vile, hata cheka yake sio ya furaha
 
Kutokana na hii misukosuko ya kiuchumi haswa hapa kwetu mpaka sasa hivi kupelekea Madaktari kugoma basi sitii shaka kua JK ameshamkubalia jamaa kuhusu ile maneno ili aokoe hili janga!
 
Nina wasiwasi na msimamo wa Jk juu ya swala hili,sikumbuki kama kweli ameshawahi kutoa tamko lolote juu ya ushoga.
Hivi angekua ni Raisi wa Zanzibar kweli angekubali kupiga picha naye au kuongea naye kama Jk alivyofanya?! Tena ametabsamu as if yuko na mama Salma jamani Jk!!Huoni haya!!! sisi watanzania tukueleweje kuhusu jambo hili?.
 
cameroun ni baba wa ushoga, Jk ukimpa mkono unapaswa kwenda kunawa mikono huyo jamaa ni najisi kwetu watanzania
 
Back
Top Bottom