Kuna mwenye kitabu cha mzee Abdul Jumbe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna mwenye kitabu cha mzee Abdul Jumbe?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by RUV ACTVIST., Jan 28, 2012.

 1. RUV ACTVIST.

  RUV ACTVIST. JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 471
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mzee Abdul Jumbe aliandika vizuri sana kuhusu serikali tatu, kunamwenye nakala ya hicho kitabu? hofu yangu CCM wamekificha ni watu wachache sana wanacho, so kama tunaweza kupata soft copy.
   
 2. M

  Madodi Senior Member

  #2
  Jan 28, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 181
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  me mwenyewe nakitafuta mbaya
   
 3. M

  Madodi Senior Member

  #3
  Jan 28, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 181
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  nasikia nyerere alikizuia!
   
 4. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  mmoja aende akumuulize c nasikia yupo kigamboni? huenda anayo copy atusaidie kufahamu nasi leo
   
 5. RUV ACTVIST.

  RUV ACTVIST. JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 471
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mnyika alikuja nacho siku moja kwenye Mdahalo, hatuwezi kucontact?
   
 6. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Ndio hatma ya muungano!!lazima tuje tufike serikali 3...maana hivi hatutaenda kamwe!!tunaomba mwenye nacho akiweke jamvini tupanue wigo wa uelewa
   
 7. N

  Nonda JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Kitabu kinaitwa The partner-ship: Tanganyika-Zanzibar union : 30 turbulent years

  Pia kimetafsiriwa kwa Kiswahili, muungano wa Tanganyika na Zanzibar : miaka 30 ya dhoruba

  Google utapata mwelekeo wapi utaweza kukipata.
   
 8. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  wekeni hicho kitabu tuchambueeee.......
   
 9. J

  JokaKuu Platinum Member

  #9
  Jan 28, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,734
  Likes Received: 4,955
  Trophy Points: 280
  ..anaitwa Alhaj Aboud Jumbe Mwinyi, siyo Abdul.
   
 10. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  sio Abdul Jumbe bali ni Aboud Jumbe.
   
Loading...