Nini faida ya WEF kwa Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini faida ya WEF kwa Tanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Khakha, Jan 27, 2012.

 1. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Wadau,
  Nimekua nikijiuliza maswali lukuki juu ya ushiriki wa nchi yetu tz kwenye mikutano ya wef davos na kwingineko duniani. kwa mtazamo wangu ile mikutano tuwaachie akina merkel, sarkozy, obama,cameron na wenzao wajadili mambo yao.

  Sisi uchumi wetu hoehae,mkulu wetu anakwend kukaa na kina merkel je ni nini kama si kujichoresha tu? tz tuna sifa mbaya ya kuwa omba omba wa3 duniani kwa nini tusijikite ndani mwetu tu? mbona nchi nyingine mawaziri tu wanaudhuria? washauri wa mkulu wetu fanyeni kazi yenu. this is too much.
   
Loading...