Ushauri wa Bure kwa Hamad Rashid--RUDI CCM UTASHINDA

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
16,851
16,748
HR rudi ccm ugombee wawi, utashinda na umaarufu wako utaendelea, ukienda any other party ndio MWISHO WAKO KISIASA. Rudi nyumbani ni nyumbani, watakuita mwana mpotevu, na kagombe Wawi kupitia ccm, utashinda na kuwachana chana CAFU, usipofanya haya utaisha 100% kisiasa.. HR nipigie baadae i am busy now
 
HR alifukuzwa CUF ambayo ni CCM-B, then what difference would it make if he returns to Magamba's aprty.

Mwache anzishe chama chake kingine, no wonder atapata wafuasi wengi kwani ni mtu anayefadhiliwa na fisadi RA.
 
Back
Top Bottom