Tukiwa mwishoni mwa mwezi huu,ni waziri gani wa serikari ya TZ aliyekuchefua?, Why?

buhange

JF-Expert Member
Oct 23, 2011
505
110
Habari wana JF.

Tunashukuru kwa pamoja kwa Mungu wetu anayeendelea kutulinda na kutuwezesha kuwa hai, ktk mazingira hayahaya magumu chini ya uongozi wa MAGAMBA.

Je?, ni waziri gani ktk serikali ya magamba aliyekuchefua zaidi kiutendaji wa majukumu yake ktk kipindi hiki cha takribani mwezi mmoja ndani ya mwanzo wa mwaka mpya wa 2012?, na ni kwa nini?.

Naanza na, Wasira. huyu ananikera kwa kuendelea kuwa bendera inayofata upepo ndani ya serikali ya MAGAMBA.

Endelea.....
 
PM, Kwa kushindwa kutatua mgogoro wa madaktari, yupo yupo tu, madaraka anayo ila hana maamuzi yake mwenyewe km PM
 
waziri wa afya, huyu anawajibika moja kwa moja na mgomo wa madaktari.

Angekuwa muungwana na anajua wajibu wake kama kiongozi wa serikali basi anapashwa ajiuzulu.
 
Haji Mponda pamoja na mademu zake Lucy na Blandina wangekuwa wanawajali watanzania wangeachia ngazi ili tatizo la mgomo wanaweza kulitatua walimalize,wamenichefua sana
 
Naanza na;
  1. Mtoto wa tajiri "Mizengo"-Muoga kuchukua uamuzi.
  2. Haji Mponda-Aeleweki,sijui kapewaje wizara,anaonekana hawezi kumudu nyakati za crisis,mpaka sasa siku ya nne sijaona jitihada za wazi kuokoa hali hii mbaya.
  3. Madam Dr Nkya-Yaani huyu ndio kimeo kabisa,anambwelambwela tu,sijui kwanini kaingia kwenye siasa,anaonekana hawezi siasa kabisa...
 
Sawa sawa wana JF.

Vipi huyu ndugu yetu kawambwa, is he serious kweli? au ndo walewale kina Mwombeji(RC-A.town?)
 
Back
Top Bottom