Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri Mkuu Mh. Pinda amewataka madaktari wote walioko kwenye mgomo kuripoti kazini kesho Jumatatu. Atakayekiuka agizo hilo atakuwa amejifuta kazi. Source: Radio Uhuru, taarifa ya saa 10.
0 Reactions
387 Replies
29K Views
Migomo ya haki isiyokwisha somo lisilokuwa na faida kwa serikaliHabari waungwana wenzangu mnaoipenda nchi yenu iliyo na utajiri wa madini,mito, maziwa,bahari, misitu, pamoja na milima,bunga za...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Wadau, nakiri nimeiona habari hiya katika ITV usiku huu mwisho mwisho - madaktari wakiwa na maafisa wa polisi na wa JWTZ katika mkutano na mmoja wa hao madaktari akielezea umuhimu walioona wa...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Imepewa tuzo hiyo kutokana na juhudi zilizotukuka zizofanikisha ushindi dhidi ya maleria. Tuzo hiyo imetolewa Addis Ababa na kupokelewa na mh rais. Source tbc1 My take je ni kweli tumeshinda vita...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika hali ya kushangaza Kituo cha Television cha Star TV kimerusha hewani habari ya siku tano zilizopita kuhusu Mgomo wa madaktari. Katika taarifa hiyo walimuhoji Mganga mfawidhi wa Hospitali ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanabodi, Hili ni opinion question yangu kuwa jee, serikali inajipanga kuwafukuza kazi madaktari wote waliogoma kwa 'summary dismissal" kwa kutumia kipengele cha "insubordination"?. Lengo likiwa...
10 Reactions
123 Replies
12K Views
Akiri hali ya Muhimbili ni mbaya, huduma hazitolewi. Amesema mahudhurio ya wagonjwa yamepungua sana mfano kutoka 60 mpaka 10 kwenye kitengo cha emergency. Wakuu mpaka Aminieli anaamua kufunguka...
8 Reactions
33 Replies
4K Views
...Katika kile kinachoonekana kama mgomo baridi na kuungana mkono kwa siri,katibu wa TUGHE tawi la Muhimbili Hospital ametoa kauli ya kuitaka serikali kurudi kukaa chini na madaktari na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada ya malumbano ya muda mrefu hatimaye serikali imekubali marekebisho ya mswada wa katiba..hasa kifungu cha kuwaruhusu wanaharakati na vyama vya siasa kuweka mikutano na wanachama wake ili...
3 Reactions
130 Replies
10K Views
daima dola zimekuwa zikitumia mbinu hii kupambana. je, itafanikiwa kesho asubuhi? au tutaona 'umoja ni nguvu' ukishinda! rejea...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Tatizo kubwa la Tanzania sasa hivi ni kwamba kila kitu muhimu Tanzania kinafanywa na serikali. Huu mfumo si mzuri kwa nchi na kama nchi siyo ya madicteta huu mfumo hauwezi kufanikiwa. Serikali ya...
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Uongozi wa Chuo kukuu cha DODOMA (UDOM) umewatapeli wahitimu wa mwaka 2011 kiasi cha Sh. 100,000,000 za kitanzania. Utapeli huu umefanyikaje? Ilikuwa ni katika graduation ya mwaka 2011 ambapo kila...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hallo wana-jf, siku ya tar 28-jan{jumapili} makamanda wa CDM watakuwepo MZUMBE university. Mpaka sasa board za matangazo zinaeleza viongozi wafuatao watakuwepo:- 1.Zitto 2.Lusinde 3.Mdee...
4 Reactions
130 Replies
10K Views
NIANZE makala hii kwa usemi wa lugha maarufu mkoani Kagera, Kihaya, usemao kwamba "ebitagira mahyo tibyera". Usemi huo hauna tafsiri ya moja kwa moja katika Kiswahili isipokuwa kwa maelezo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
TUNA kila sababu ya kuwapuuza madaktari ambao wanafanya mgomo unaosababisha vifo na majeraha kwa wagonjwa wanaohitaji huduma za kitabibu kwa lengo la kuishinikiza serikali iboreshe mazingira ya...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais Jakaya Kikwete. Jukwaa la Katiba kwa mara nyingine jana liliibuka na kusema kuwa watendaji wa serikali katika masuala ya sheria hapa nchini uelewa wao ni mdogo ndiyo maana wanamshauri...
0 Reactions
3 Replies
964 Views
Wakuu wanaJF, nitawaweka picha zingine nyingi zaidi baadae. Hapa nilipo pamoja na net kuwa very slow, lakini pia wananiambia wanataka kufunga. Hakuna kuongeza muda zaidi. Nimefanikiwa kuweka hizi...
4 Reactions
108 Replies
11K Views
Wakuu naomba nielimishwe kuhusu uwepo au kutokuwepo kwa Tanganyika. Nimemsikia mh. Jussa akilitumia mara kwa mara neno "Watanganyika...."wakati anahojiwa na DW-radio; hii inanipa shida kidogo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Siku zote nimekuwa nikihamini kuwa serikali yetu haina uthubutu na wala jitihada za kumsaidia mtu wa chini (watu wasiokuwa na uwezo/ watu wa hali ya chini). Katika kuthibitisha hilo jana waziri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali imeendelea kuongeza juhudi zake za kuwabana madaktari na sasa imenyang'anya ukumbi wa starlight na wameamua kuulinda na FFU kama walivyowahamisha pale Don Bosco na kumbi zingine za...
4 Reactions
147 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…