Brightman Jr
JF-Expert Member
- Mar 22, 2009
- 1,225
- 232
Wakuu naomba nielimishwe kuhusu uwepo au kutokuwepo kwa Tanganyika. Nimemsikia mh. Jussa akilitumia mara kwa mara neno "Watanganyika...."wakati anahojiwa na DW-radio; hii inanipa shida kidogo kufahamu ukweli kuhusu Tanganyika kama ipo ama ilishakufa i mean haipo kabisa. Kwenu wataalam wa masuala ya kisiasa mwasemaje?