Tughe muhimbili : Pinda futa kauli ya kuwafukuza madaktari,sisi hatuwezi vumilia.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tughe muhimbili : Pinda futa kauli ya kuwafukuza madaktari,sisi hatuwezi vumilia....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by only83, Jan 30, 2012.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  ...Katika kile kinachoonekana kama mgomo baridi na kuungana mkono kwa siri,katibu wa TUGHE tawi la Muhimbili Hospital ametoa kauli ya kuitaka serikali kurudi kukaa chini na madaktari na wafanyakazi wa sekta ya afya kwa ujumla na sio kutumia nguvu kuzima madai yao...Ameendelea kusema kuwa wanaitaka serikali kufuta kauli na vitisho vya kuwafukuza madaktari maana wao hawata vumilia kuendelea kufanya kazi za madaktari kwa kuwa ni mzigo kwao na nje ya kazi zao kwa hiyo watahitaji malipo ya ziada(allowances).

  Source : Channel Ten
   
 2. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hivi Serikali inajisikiaje baada ya Madaktari kuendelea na mgomo licha ya MKWARA waliopigwa jana? Aibu...aibu...aibu tupu!
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  serikali inajidai kichwa ngumuee ngoja tuone kati ya serikali na madaktari nani zaidi
   
 4. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Serikali imeshindwa kazi jamani.
   
Loading...