Yanayoendelea Uzini, Kampeni za CHADEMA-Picha

Tumaini Makene

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
2,642
6,071
Wakuu wanaJF, nitawaweka picha zingine nyingi zaidi baadae. Hapa nilipo pamoja na net kuwa very slow, lakini pia wananiambia wanataka kufunga. Hakuna kuongeza muda zaidi. Nimefanikiwa kuweka hizi na kujibu hoja za watu kadhaa katika ile thread nyingine. Asanteni. Mpaka hapo baadae. Pia nitakuja kuwapatia caption ya picha hizo wakati huo wakuu.
 

Attachments

  • IMG_3969 CHADEMA MKUTANONI.JPG
    IMG_3969 CHADEMA MKUTANONI.JPG
    611.2 KB · Views: 1,811
  • IMG_3958 CHADEMA MKUTANONI.JPG
    IMG_3958 CHADEMA MKUTANONI.JPG
    398.7 KB · Views: 1,394
  • IMG_3936 CHADEMA WAZEE.JPG
    IMG_3936 CHADEMA WAZEE.JPG
    534.4 KB · Views: 1,266
duhu. Yaani idadi kubwa ni viongozi kuliko wasikilizaji? Kama arusha na Moshi tungalishuhudia vionjo vya picha kila aina
 
Siku nyingine ukipiga picha piga oblique photoe sio ground photoe maana hapo tumeshindwa kujua watu waliitikia vya kutosha kiasi gani? Hata Hivyo inaonekana kazi bado ni pevu huko.
 
Ndiyo hii ni CDM bana..mpaka Zenji,haya semeni sasa.Mtauwawa bure?
 
Tupo pamoja wakuu naamini muda si mrefu tutakuwa mwembe kisha mbuyu mambo ni kwa hatua,siku zote ukweli husimama
 
sio Kila mchezaji anakwenda kufunga, kazi ya golikipa ni kulinda bao. Chadema kaeni Arusha na Moshi ya Unguja waachie wenyewe
 
umati wa viongozi. yaani Chadema wajipange tu Arusha. huku kwengine waache tu wenye meno watafune
Kanchi kadogo kuliko jimbo la ubungo ila kelele kibao............. Afterall hilo ni bao la kisigino kaendelezeni majengu mzalendo.net:eyebrows:
 
kumbuka kule ni kijijini.lakini pia population ya zbr ni ndogo sana.usisahau

sio kiasi hicho. kama idadi ya viongozi wa Chadema ni kubwa kuliko wasikilizaji ni dalili kwamba mfunge virago na kuelekea kuunga MKono madaktari
 
Yaani kweli CDM mnajituma big-up maana kwa mazingira tu huko kunakatisha tamaa. Mungu atawasaidia
 
Back
Top Bottom