SERIKALI yanyang'anya ukumbi wa STARLIGHT ambao ulikwishalipiwa na MADAKTARI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SERIKALI yanyang'anya ukumbi wa STARLIGHT ambao ulikwishalipiwa na MADAKTARI

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dr Klinton, Jan 29, 2012.

 1. Dr Klinton

  Dr Klinton Senior Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serikali imeendelea kuongeza juhudi zake za kuwabana madaktari na sasa imenyang'anya ukumbi wa starlight
  na wameamua kuulinda na FFU kama walivyowahamisha pale Don Bosco na kumbi zingine za Korean Culture na
  Diamond ili kuendeleza juhudi zake za kukandamiza wananchi wake ndani ya nchi yao.
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  mkuu ya kweli hayo? Nendeni kwenye kumbi za msimbazi centre au pale qualitu centre mtapata ukumbi, lipieni kumbi tatu in different places hallafu tuone kama watazizuia zote.

  Nina hasira nao hawa!!! If only wafanyakazi wengine wa serikali wangeweza kusimama na kudai haki zao.
   
 3. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Yaani inauma mno kuwa na serikali kama hii!!!

  May be ndo mwanzo wa kuelekea kuipata haki............kama watasimama na kutokuogopa hivi vitisho!....
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,320
  Likes Received: 1,785
  Trophy Points: 280
  Wafanyakazi wa serikali wako kwenye zile wizara nyeti na kule kwa mkuu mwenyewe. Wengine wasindikizaji
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Bado sijaelewa nini wakubwa wanafikiria. Hivi kwa mfano madaktari woooote wakitokeza kwenye vituo vyao vya kazi kesho wana uhakika gani watatoa huduma? Na utamwachaje mgonjwa chini ya uangalizi wa mtu ambaye huna uhakika kama atanyanyua hata kipima joto? Hapa naona bado serikali haijatafakari vizuri aina ya huu mgogoro.
   
 6. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  PM Pinda amesema mikutano ya maDr isiyo na tija ni marufuku kuanzia kesho. So hamna vya Starlight wala Bon Dosco. Kwa kifupi serikali imeamuru Hamna Mikutano ya Madaktari. Warudi kazini na mazungumzo yatapangwa baina ya Serikali na Viongozi wa Madaktari.
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  This calls for other professionals to stand up and say no!!!

  ....SHALL MEET IN MUHIMBILI
   
 8. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2012
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Haki haizuiwi, kusanyikeni pale kinondoni biafra kodini viti, wekeni mahema bei sawa na bure
   
 9. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Huu ni unyama wa serikali kwa wananchi wake usio na tija.
   
 10. vimon

  vimon Senior Member

  #10
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 181
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  u will all die if you joke wit doctors
   
 11. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #11
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,539
  Likes Received: 81,974
  Trophy Points: 280

  We acha tu KH, yaani hawa madaktari wanadharauliwa kupita kiasi. Serikali inafanya maamuzi ya hovyo hovyo kama ilivyokuwa ile Serikali dhalimu ya makaburu kule South Africa.
   
 12. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #12
  Jan 29, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hii sio Serikali bali Sirikali
   
 13. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #13
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Pinda ukizidiwa usiku hutakimbizwa India, utakwenda Muhimbili kwanza, nakuhakikishia safari ya India utaisikia ahera. Sindano moja tu ya insulin inakutosha, Mapambano yanaendelea.
   
 14. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #14
  Jan 29, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kutaneni majumbani kwenu kama kuna mmjoja wenu ananyumba yenye eneo, msikate tamaa mpaka kieleweke
   
 15. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #15
  Jan 29, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Hapo niyo mwisho wa kufikiri kwa serikali hii ya wanamagamba!
  Hapo wametumia wataalam wa TISS na wataalam wengine waliobobea ktk nchi hii!!! kweli? hayandiyo majawabu ya mgomo huu kwa watu wazima hawa wenye madai ya msingi na elimu zao!!........hatuna serikali, hatuna viongozi nchii!

  Tuuone, big up madakitari tunawaombea......
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Drs shall meet tomorrow!!! kama ametoa amri, na anajiamini yeye ni kiongozi shupavu, yanini achukue ukumbi wa watu?
   
 17. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #17
  Jan 29, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Msikusanyike mahali popote bakini majumbani kwenu wekeni extreme ya SMS kisha muwe mnawasiliana. Hakuna sababu ya kubishana na watu wasio na upeo wa kutatua mambo, Nangojea siku hao FFU wakigoma sijui nani ataenda kuzuia mgomo?
   
 18. T

  TUMY JF-Expert Member

  #18
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunapoelekea sasa ni kubaya jamani, kwanini wazuiwe kukutana, anyway yangu masikio.hili suala ni tete kwa kweli.
   
 19. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #19
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Serikali imejaa mijitu isiyo na ushawishi kwa wananchi wake imebaki na ubabe tu. Doctors komaeni hakuna krudi nyuma..........
   
 20. Dickson Mpemba

  Dickson Mpemba JF-Expert Member

  #20
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 21, 2010
  Messages: 330
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  kwani mpaka ukumbini nendeni kidogo chekundu au mnazi mmoja msitafute sababu rudiki kazini msicheze na serikali nyie.
   
Loading...