Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
Wadau, nakiri nimeiona habari hiya katika ITV usiku huu mwisho mwisho - madaktari wakiwa na maafisa wa polisi na wa JWTZ katika mkutano na mmoja wa hao madaktari akielezea umuhimu walioona wa kurudi kazini, akisema serikali inashughulikia suala lao na hapo hapo kuwalaumu madaktari wengine waliogoma.
Nauliza jee walilazimishwa kuripoti au walikwenda kwa hiari yao?
Aliyeoona habari hiyo in full atujuze hapa.
Nauliza jee walilazimishwa kuripoti au walikwenda kwa hiari yao?
Aliyeoona habari hiyo in full atujuze hapa.