SIASA NA UFISADI katika ELIMU: UDOM WATAPELI SH 100,000,000 za WANAFUNZI WAHITIMU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SIASA NA UFISADI katika ELIMU: UDOM WATAPELI SH 100,000,000 za WANAFUNZI WAHITIMU

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by matunge, Jan 30, 2012.

 1. m

  matunge JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  Uongozi wa Chuo kukuu cha DODOMA (UDOM) umewatapeli wahitimu wa mwaka 2011 kiasi cha Sh. 100,000,000 za kitanzania. Utapeli huu umefanyikaje? Ilikuwa ni katika graduation ya mwaka 2011 ambapo kila mwanafunzi alitakiwa kulipa ada ya Sh. 25,000 kwa ajili ya ushiriki na 20,000 ya ziada kwa ajili ya tahadhari na waliahidi kuwa fedha hiyo Sh 20,000 ingerejeshwa kwa mwanafunzi mara tu atakaporejesha joho la sherehe. Cha ajabu ni kwamba kila mwanafunzi aliporejesha joho hilo aliambiwa aache akaunti ili wamuwekee fedha yake, lakini mpaka sasa tangu Nov 25-26/2011 hakuna mwanafunzi yeyote aliyewekewa fedha hiyo. Itakumbukwa kwamba wahitimu walikuwa 5000. Watu wamechunguza na kugundua kuwa ndo mchezo wa UDOM kwani hata wahitimu wa 2010 walitapeliwa.
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu siasa iko wapi hapa?
   
 3. Mhadzabe

  Mhadzabe JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 715
  Trophy Points: 280
  Hayo majamaa ni majambazi!
   
 4. m

  matunge JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  kwako siasa mpaka ccm, chadema....siasa ipo hata katika familia
   
 5. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,422
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  No wonder......kuna siri kubwa udom....
   
 6. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mkuu umenikumbusha juu ya hao wezi,kwanza marekebisho kwenye graduu hyo tulikua zaidi ya wahitimu elfu tano tumeibiwa pesa zetu na mpaka sasa wapo kimya hawa majizi na nasema Mungu atawalaani kabisa huyu Mlacha na kundi lake
   
 7. m

  matunge JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  Si wanajua hamwezi kugoma mkiwa nje!!
   
Loading...