Waziri Mkuu awaamuru Madaktari kuripoti kazini Kesho! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri Mkuu awaamuru Madaktari kuripoti kazini Kesho!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tatanyengo, Jan 29, 2012.

 1. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Waziri Mkuu Mh. Pinda amewataka madaktari wote walioko kwenye mgomo kuripoti kazini kesho Jumatatu. Atakayekiuka agizo hilo atakuwa amejifuta kazi.

  Source: Radio Uhuru, taarifa ya saa 10.
   
 2. P

  PATALI Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  PM Mizengo Pinda amewaamuru madaktari wote wanaoendelea na mgomo kurudi kazini mara moja kuanzia kesho (30th Jan) asubuhi huku serikali ikiendelea kushughulika madai yao.
  Ameagiza kwamba, atayekiuka agizo hilo atakuwa amejifukuzisha kazi mwenyewe.

  Source TBC 1

  Madaktari mnasemaje, mnafyata au tools down mpaka kieleweke? Wadau mnaonaje hii imekaaje, serikali ina ubavu wa kuwafukuza hawa mabwana kama wakishikamna pamoja bila woga?
  Nawasilisha!!
   
 3. b

  busar JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Taarifa kwa kina tafadhali..
   
 4. M

  Makomu Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Source TBC
  waziri mkuu Mizengo P.Pinda amewataka madaktari wote kurejea kazini kesho na kusitisha mgomo mara moja. je hii amri inayotoka pasipo kuwasikiliza madai yao itatekelezeka?????
   
 5. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,001
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  tunasubiri amwage chozi, alifikiri anatishia walimu.
   
 6. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  kwani chanzo cha mgomo wa madaktari ni madai gani. Unaweza kufafanua
   
 7. b

  busar JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Kazi kwisha, nampongeza pinda kwa amri zake, na watarudi tu, utaratibu wa mkandala ud utumike pia hapa, wamesomeshwa kwa pesa yetu. Then wanaleta za kuleta, tumechoka, kesho tiba Kama kawa.
   
 8. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Bila shaka atakuwa amewapatia maslahi yao waliyokuwa wanataka madaktari.

  Na hakika atakuwa amelonga nao leo hii.
   
 9. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  madaktari wanaheshimu sana maprofesa waliowafundisha.kama ingekuwa pinda ni profesa katika mambo ya medicine hiyo amri ingetekelezeka kirahisi.otherwise na yeye atajiabisha kama kina nkya.ubabe hausaidii bana aende starlight kesho akajibu hoja.
   
 10. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Wewe unatumia nini kuwaza kabla hujaandika, yaani watoe madaktari india kwa sababu madaktari wetu wamegoma kushinikiza kuboreshewa mazingira ya kazi yao? Hivi huyu Pinda kazaliwa wapi? Tz au DRC ?
   
 11. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #11
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  WHO BRINKS FIRST, Huu mchezo mzuri sana kwa wanaocheza, matatizo kwa wananchi.

  Ngoja tuone.
   
 12. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #12
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,132
  Likes Received: 3,320
  Trophy Points: 280
  Anamtishia Nani Huyo kazi kulialia bungeni.
   
 13. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #13
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Hapa sio kwa Mgaya wala TUCTA, madaktari msikubali kujidhalilisha, hakuna kurudi nyuma mpaka kieleweke, wamezoea na amri zao za kifisadi wezi wakubwa hawa
   
 14. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #14
  Jan 29, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kama atakua amelonga nao na wakakubaliana itakua poa sana LAKINI KAMA NI AMRI BILA MAKUBALIANO NAHISI ATAKUA ANAJITAFTIA MAKUBWA
   
 15. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #15
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ina maana hawakufanya leo makutano yao kama ilivyokuwa ada?
   
 16. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #16
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Historia inaonyesha tishio kama hilo lilishawahi kutolewa na Rais Mwinyi, Waziri Anna Abdallah na Rais Kikwete kwa nyakati tofauti. Na katika Amri zote hizo ni ile amri ya Anna Abdalla pekee ndiyo angalia ilikaribia kushindwa, Lakini zingine zote ziliwafanya watumishi husika kufyata mkia na kurudi makazini.
  Tuone kama hawa wa kizazi hiki watafanya tofauti na waliowatangulia katika sekta ya afya na elimu!
   
 17. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #17
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Pinda, Punda hapelekwi kunywa maji kwa nguvu kama hana kiu
   
 18. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #18
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,132
  Likes Received: 3,320
  Trophy Points: 280
  Huo upuuzi akawambie wazee wa ccm.
   
 19. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #19
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Na Botswana, Rwanda, Burundi, hakuna madaktari watakwenda huko. Laseni hazifutwi kama cheti cha kupikia ubwabwa ambacho nadhani kwa akili zako ndio unacho.
   
 20. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #20
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Pinda ni mchawi ndio maana hana hata huruma na watanzania wanaoteseka, madaktari msirudi nyuma.
   
Loading...