Mishahara ya upendeleo kwa baadhi ya sector | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mishahara ya upendeleo kwa baadhi ya sector

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by UNIQUE, Jan 31, 2012.

 1. U

  UNIQUE Senior Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakati wa Nyerere tuliumia wote. Sasa hivi serikali hii hii inalipa hela ndefu BOT, TRA ETC. Tatizo serikali inadhani watu hwafahamu. Kumuka aliye BOT alikuwa Class mate wangu ananiambia wanavyopiga hela. mimi dr naenda night call kwa 10,000/=. Jamani kama una degree HUMAN MEDICINE u are so potential kufanya mambo mengi uraiani. HUKU FANI NYINGINE ZIANHITAJI COMMON SENSE TU. MFANO KUWA TELLER BANK, UNAFUNDISHWA WIKI 1 TU UMEJUA.
  HIYO NAFASI YA PINDA IKO WAZI TOKA ALIPOLIA. WAZIRI MKUU UNALIA! AENDE NYUMBANI AKALIE. MADAKTARI WAPEWE HELA NDEFU NAO MBONA WENGINE WANAPEWA!
   
 2. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Acha umbea ukitaka tuchangie hoja yako kwa vizuri ulitakiwa uweke data za hao wengine wanalipwaje na madakatari wanalipwaje ili nasi tuone uhalisia wa mambo kuliko hivi ambapo yaonyesha km hoja yaki daku daku hivi.

   
 3. k

  kiche JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Sina uhakika kama wewe ni daktari kama ulivyosema,mtiririko wa taarifa yako unatia shaka auendani na mtu aliyeenda shule,lakini kama kweli wewe ni dokta samahani,ila nimefanikiwa kuondoka na jambo moja kuwa kuna utofauti wa mishahara,wakuu tunaomba tuweze kupata data kamili za mishahara kwani tunaweza kuwa na mawazo hayo kumbe na hao tunaofikiria ni maneno tu,mtakumbuka wakati serikali ilikuwa inasema madaktari ni watu wanaolipwa vizuri sana,walipotamka ikawa ni kichefuchefu,ajabu ni kuwa malipo mazuri sana ni laki 7,take home laki 5
   
 4. m

  mtanganyikaa Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii ndo tanganyika bwana kila kitu ni upendeleo, we hushangai wapemba kupendelewa hadi kukalia ikulu ya magogoni. au wabunge wa zenzi kulipwa na watanganyika huku ikishindwa kulipa vizuri ma dr wa tanganyika we vipi?
   
 5. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Tatizo la viongozi wetu karibu wote walio na madaraka makubwa ni wavivu wa kufikiri!. Hata historia zao huko nyuma zinaonyesha kuwa walikuwa vilaza wakubwa darasani hata kwa masomo laini! Hivyo wametengeneza syndicate ili kuwakomoa wale walioonyesha uhodari na bidii katika masomo. Kwa kuwa wako katika sehemu za maamuzi kama kutunga sera na kupanga mishahara basi wakati wote wanajipendelea. Angalia wanavyojilipa BOT, Bandari, TRA na ngazi za mishahara za maofisa wa utumishi!
   
 6. fikrapevu sungura

  fikrapevu sungura Senior Member

  #6
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lete data za uhakika wanazolipwa hao rafiki zako.
   
 7. w

  wamwala Senior Member

  #7
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tatizo ni uvivu wa kufikiri wa viongozi wetu akili zao wamehamishia kwenye masaburi
   
Loading...