Pinda is right! Doctors are wrong! Doctors have frustrations!! They must apologize to all Tanzanians | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda is right! Doctors are wrong! Doctors have frustrations!! They must apologize to all Tanzanians

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LATTICE BOND, Jan 30, 2012.

 1. L

  LATTICE BOND JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Madaktari tuambieni mmetumia vigezo gani kufikia mshahara wa TZS 3,000,000 plus other fringe benefits ambazo mwisho wa siku sitafikia karibu 5,000,000/=
  1. Hamuoni kuwa Polisi nao wanastahili kupata mshahara kama huo maana wao wanahatarisha maisha yao binafsi na maisha ya wale wanaolindwa na hao waheshimiwa?
  2. Hamuoni askari magereza nao wanahitaji mshahara kama huo maana kazi wanayofanya ya kulinda wahalifu ni hatari na inawafanya wafanane na hao wafungwa kwani inabidi wawe nao sambamba muda wote?
  3. Hamuoni kuwa uhamiaji nao wanahitaji mshahara kama wenu maana wanafanya kazi hatari ya kuhakikisha nchi hii haipati wageni wasio rasmi hivyo kukulinda wewe na wenzako dhidi ya wageni wa aina hiyo?
  .
  .
  .
  .
  .
  Kitendo walichofanyiwa interns si cha kiungwani. Ninakilaani na Lazima kiongozi mmojawapo Wizarani awajibike kwa hilo!!! Kwa upande wenu Ingekuwa vema kama mngeendelea na hoja yenu ya kushinikiza Mponda, Nkya, Nyoni na Mtasiwa wafukuzwe. kwa kufanya hivo mngeonyesha usomi na weledi!! ila mambo mnayodai ni ubinafsi ambao hauna tofauti na ule ubinafsi wa Wabunge!!!
  Kwanza mnaposema kazi ya kutibu mgonjwa ni hatari kwa afya yako nami ntasema kazi ya kuwasha mtambo wa kihansi au kulinda majambazi gerezani ni hatari kwa maisha ya mtu anayefanya hiyo kazi [wewe ni hatari kwa afya yako lakini mwenzako ni hatari kwa maisha yake]!. Na nitazidi kukueleza kwamba hatari zoote zinazoambatana na hizo kazi zimeondolewa na mafunzo mlopata kwa kazi husika kwa hiyo msije na visingizio vya hatari!!! kila mtumishi ana hatari zake pale alipo!!! Tatizo lenu mnapojiangalia kwenye vioo mkaona miwani mlovaa ilhali wengine hawajavaa miwani, then mnajiona m- zaidi ya wengine!!!! ACHENI HUO ULIMBUKENI WA KI-KIBINAFSI NA KIMASKINI USIO NA WELEDI ASILANI!!!!!
  BADILISHENI MAUDHUI YA MGOMO WENU AU RUDINI KAZINI!!!!!!!!!!!!
   
 2. engineerm

  engineerm Senior Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbona huongelei kuhusu wabunge kujiongezea posho na wao wako sahihi?.Hapa chanzo cha mgogoro huo ni wabunge kujiongezea posho nothing else.
   
 3. L

  LATTICE BOND JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  engineerm;3236909!
  Nimeongelea posho za Wabunge tena kwa lugha kali vya kutosha!! angalia andishi langu lenye red hapo chini!
  Kitendo walichofanyiwa interns si cha kiungwani. Ninakilaani na Lazima kiongozi mmojawapo Wizarani awajibike kwa hilo!!! Kwa upande wenu Ingekuwa vema kama mngeendelea na hoja yenu ya kushinikiza Mponda, Nkya, Nyoni na Mtasiwa wafukuzwe. kwa kufanya hivo mngeonyesha usomi na weledi!! ila mambo mnayodai ni ubinafsi ambao hauna tofauti na ule ubinafsi wa Wabunge!!!
   
 4. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  huna lolote wewe umbea umbea tu
   
 5. p

  politiki JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  usiwalaumu madaktari ilaumu serikali kwa kushindwa kuboresha maslahi yao na pia kwa kuzorotesha huduma za afya nchi nzima na wakati huo huo wakiwa na mpango wa kujenga jengo la ikulu litalogharimu mamilioni ya dola
   
 6. engineerm

  engineerm Senior Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sasa kwanini waziri mkuu anataka kuridhia posho za wabunge ila madaktari kudai posho inaonekana ni haramu,ila mkuu wewe unaonekana unawaponda sana madaktari ijapo kwenye posho za wabunge umegusia tu.
   
 7. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2012
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  Kwani maDR Wanagoma kwa sababu ya mishahara tu?
   
 8. mluga

  mluga JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 678
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa nini wasimuulize Mh Job Ndugai, wapate mawazo yake?
   
 9. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #9
  Jan 30, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  unapowasakama kwa kulinganisha na taaluma nyingine au wafanyakazi wengine unakosea kwa sababu
  1. pengine hizo taaluma nyingine zimeridhika na hali za maisha na kazi wazifanyazo
  2. Pengine wana mahali wanapopata kipato cha ziada kiasi cha kutoyasikia makali ya upanga wa maisha au
  3. Pengine hao wengine ni waoga, hawajui haki zao kisheria au hawaijui thamani ya taaluma yao katika jamii.

  Madaktari wameijuia, wamejiotambua na wamezifahamu haki zao waache wazipiganie

  kama una alternative ya namna wanavyowezazipigania haki zao KIUNGWANA zaidi ya wafanyavyo, please washauri na si kuwacondemn kwani pilipili usoila............................
   
 10. L

  LATTICE BOND JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama mimi ni M-mbeya basi wewe ni M-tanga!
  acha kutangatanga nami ntaacha kuwa mmbeya maana sitapata umbeya wa kufanya!!

   
 11. Z

  Zinjathropus JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Ndugu upimi umuhimu wa kazi kutokana na majukumu tu, bali unapima umuhimu wa kazi kutokana na training inayo ambatana nayo. Unaweza kumchukua mtu yeyote na akafanya kazi zote hapo ulizozitaja lakini uwezi kumchukua mtu yeyote akatibu wagonjwa hapo ndio MD wanahaki ya kuweka madai.

  Hao wengine wakitaka kugoma ni very easly replaceable sectors, kwenye nchi yenye mamillioni wasio na ajira. Embu sasa mchukue huyo mlinzi wa gerezani akatibu wagonjwa kama ni rahisi kama unavyo-compare madai ni sawa.

  Wakati mwingine huwa nina mashaka sana na uwezo wetu wa kuchanganua mambo.

  Hila madokta nao kwa sasa nadhani warudi kazini mgomo gani usio na mwisho inabidi watoe tena muda kwa serikali hili matakwa yao yasikilizwe na wagome tena baadae. Lakini kwa sasa it is enough na wanatia aibu proffesional yao na kujionyesha ethics zao ni ndogo ni tamaa tu na wao kama wabunge wetu.
   
 12. kinya

  kinya JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 483
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  WAKUU;
  Anavyo jaribu kuwalaumu madaktari kwa ubinafsi anashindwa kutujuza je hicho wanachodai ni sawa au la,nilimsikia mwenyekiti wa kamati ya mpito Dk ulimboka akiwataka watz kutoka kada nyengine wanaodhani wanadhulumiwa wawauunge mkono lakin bado tunawalaumu?TUACHE UNAFIKI
   
 13. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #13
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye red, kama wao wameshindwa kujitambua unataka na madaktari nao wasijitambue?
   
 14. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #14
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  unaweza kutofautisha kati ya neno "umbea " na "umbeya"?
   
 15. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #15
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  wanaobishana na huyu mtu wanapoteza muda, mabandiko yake yanaonyesha uwezo wake kiakili ni mdogo kujua madaktari kwa nini wanagoma, hamtaweza kumuelimisha kwa kuwa uwezo wake wa uelewa umeishia hapa.
   
 16. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ngoja nisichangie nisije nikatukana bure nukapigwa ban
   
 17. only83

  only83 JF-Expert Member

  #17
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Unajua mimi nawashangaa sana watu wanaowalaumu madaktari...mkuu,kama na wewe unaona unashida kwenye eneo lako goma!!! Usilazimishe kuwa kwasababu wenzako wameona shida yao,lazima waone na yako!!! Kila mtu anatakiwa kudai haki yake kwa kile anachohisi anadhulumiwa na sio kuwataka madaktari wakusemee shida yako wakati wao sio watu wa fani hizo..Kama wewe ni askari na unahisi kuna shida huko,tafuta mbinu ya kulisemea mkuu...
   
 18. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #18
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Mkuu ungeanza kuzungumzia wabunge kwanza kwakua wao ndio chanzo cha matatizo haya.
   
 19. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #19
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Umesomeka.
  Madoktaz hawawazuia wafanyakazi wengine kudai haki zao.
  Kila profession ina umuhimu wake, na ni yule member pekee wa profession ndiye anejua matatizo na changamoto zinazoikabili profession yao.
   
 20. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #20
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  thread zingne za ki-kenge kweli.......go doctors!!!!
   
Loading...