Naomba Kuuliza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Kuuliza?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by vivian, Jan 31, 2012.

 1. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Hivi viongozi wetu mlio juu, hamjui kama tenda nyingi za serikali wanapewa wale wanaojua kutoa 10% lakini sio kwa watendaji Bora?

  Kama mlikua hamjui, naoma kwa leo mlijue hilo na mchukue hatua. Ninajua wengi wenu mnaipata hiyo 10% ndio maana imefumbiwa macho.

  mkiweza kumaliza hili mtakua mumeumaliza ufisadi for over 70%.
   
Loading...