Equatorial Guinee wameweza, sisi tunashindwa nini?

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Niko huku kwa siku kadhaa kwa ajili ya AFCON (wakati mwingine Gabon)
Tukiacha yoote mengine, kuna kitu nimekinote cha tofauti, kama sisi, wao wana bara na visiwani (Rio Muni na Bioko) ingwa sijui kama nako kuna muungano kama huku kwetu.
Nilichoona ni kuwa wenzetu mji wao mkuu. Malabo uko kisiwani Bioko, ambako kijoografia ni padogo kuliko Rio Muni.
I wonder kwanini wakati serikali inahamisha makao makuu back in time isingehamishia Unguja badala ya Dodoma?

Gonga: Redirect Notice
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom