Complication za Mgomo wa Madaktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Complication za Mgomo wa Madaktari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Masanilo, Jan 30, 2012.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Issue imekuwa complicated as only interns na muhimbili dr walio chini ya wizara ya afya the rest mikoani wapo chini ya halmashauri ambayo ni tamisemi so mgomo unity ni ndogo. Hawa madokta wako chini ya madiwani.

  Muhimbili mgomo upo na Polisi wanazunguka Kama hawana Akili. Kuna FFU pia. Pinda si kiongozi ni msanii asingepoteza uwaziri mkuu Leo tungepiga Naye stories
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Muhimbili hata emergency cases hazipokelewi labda FFU wavae makoti meupe watibu
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Wapo chini ya madiwani?!!!!
  Aseeee!!!
   
 4. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hao FF wasije wakapiga wagonjwa huko.
   
 5. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Thats what we want.............tuone kama Davos inaweza kutibu wagonjwa sasa!!! gademu!!!!
   
 6. s

  step Senior Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Hata huko Mbeya mgomo unaendelea na MOI ndo kabisa shughuli zimesimama. Polisi si waanze kutibu sasa kama swala ni kutumia nguvu ya dola. maskini Pinda she has proved a failure ruler again. Anasumbuliwa na Ulimboka mpaka anakiri hadharani naona anataka kumfanya vibaya sasa huyu dokta.
   
 7. m

  mob JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,027
  Likes Received: 509
  Trophy Points: 280
  nimeependa hii nukuuu kuutoka gazeti la tanzania daima la jana ukurasa wa 9. limeandika hivi

  kama viongozi wetu wakuu akiwemo rais wanaweza kufika mara kwa mara hospitali kumtazama mbunge aliyyelazwa na kwenda msibani nyumbani kwake anapofariki dunia na ikibidi kusafiri mkoani kuzika wanapata wapi kigugumizi cha kuwatembea maelfu ya wananchi wanaotaabika kwa mgomo wa madaktari na kuwafariji huku wakitafuta suluhu?
   
 8. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Huyu ulimboka ni mtoto wa mkulima kiukweli si AKA
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,638
  Trophy Points: 280
  Hahahaha....... hapo kwenye red...... dah! Umeamua kudhalilisha mama zetu namna hii? Mi nadhani hapo pangesomeka "it"
   
 10. W

  We know next JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Saa ya Ukombozi imefika, ni vyema kuwaunga mkono hawa madaktari kwa njia yoyote ile inayowezekana. Km Gaddafi na kiburi chake alikimbilia ktk mtaro sembuse Pinda??
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,638
  Trophy Points: 280
  Hehehe... dah! Chonde chonde wasitukasirishie na wafanyakazi wa TBL/SBL. Ndio tumaini letu pekee la "tiba" lililobakia.
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  madaktari wengi leo wapo kazini.hongereni sana
   
 13. only83

  only83 JF-Expert Member

  #13
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Nadhani tumpe nchi mwaka 2015......
   
 14. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #14
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Imekula kwenu pole

  Police wavae makoti meupe wadunge sindano vichaa na wenyewe wavae makoti
   
 15. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #15
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,268
  Trophy Points: 280
  My God! yaani madiwani hawa hawa ambao wameishia darasa la 4 na la saba leo hii ndio wanawasimami mdaktari wenye degree zao? aisee siasa imeshaiharibu nchi vya kutosha.
   
 16. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,420
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Pinda alipewa kazi aisiyoiweza, ndio maana saa ingine maji yakizidi analia! Uwezo ni mdogo sana huyu bwana, ahata hivyo kafanya vizuri kutokuwania urais, maana nchi ikivamiwa yeye badala ya kuonyesha njia...ataanza kulia. Aliwahi kusema ati tukiwaendea vibaya mafisadi, nchi itayumba! Waziri mkuu kweli? Hivi hakuona watu kama akina Sokoinne walivyokuwa bold wakiwa na nafasi hiyo?Ngoja aje aende muhimbili akute watu wanataabika aanze kuangusha kilio hapo Pathetic!
   
 17. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #17
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,630
  Likes Received: 3,014
  Trophy Points: 280
  Nachukia sana watu wanao jifanya maafsa habari wa serikali,watu wote wanaona serikali haifanyi haki,yeye kanakuja humu,kuitetea,salamu zako FF.5
   
 18. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #18
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,655
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  Atusaidie kuwa-wanalipwa na madiwani?wanapangiwa kazi na madiwani?vyote pamoja?au urongo tuu
   
 19. fikrapevu sungura

  fikrapevu sungura Senior Member

  #19
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuelewe lipi mgomo unaendelea au mmefyata, msiniangushe ma-dr.
   
 20. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #20
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,268
  Trophy Points: 280
  Mtu yeyote anaefahamu utendaji wa Halmashauri/ manispaa hawezi kuuliza swali hili.
   
Loading...