Wabunge vs madaktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge vs madaktari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by valour, Jan 31, 2012.

 1. v

  valour Senior Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 167
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hii ndio Bongo uijuavyo.  Bongo uijuavyo.jpg
   
 2. mjomba wa kale

  mjomba wa kale JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hakuna usawa kabisa na ndio maana wataalam wote wanakimbilia siasa maana wanaona utaalam wao hauwasaidii kupata maisha bora hivyo bora wakapige propaganda majukwaani ndio inalipa kwa hapa kwetu tz
   
 3. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  hivi hii laki 2+130 kwa mwezi ni m6.9 kwa mbunge 1 mara idadi ya wabunge leteni hesabu tuone kama ni hela kidogo sana kuzidi ile ya madaktari
   
 4. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 45,025
  Likes Received: 31,775
  Trophy Points: 280
  acha 2 madaktari waendelee kula bata.....make huu ni upuuzi
   
Loading...