Zto: Gov O.T has opportunistic diplomatic relations | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zto: Gov O.T has opportunistic diplomatic relations

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by analysti, Feb 3, 2012.

 1. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 662
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 80
  Kauli hii imetolewa na Zito kabwe bungeni muda si mrefu
   
 2. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,259
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  who is O.T? sorry
   
 3. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 662
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 80
  Of Tanzania
   
 4. P

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 22,180
  Likes Received: 10,223
  Trophy Points: 280
  Pia amesema wabeberu wa nchi za Nato wametaka mali za Ghadafi ziwe freezed duniani pote. Na kuna swali kauliza kuwa Ghadafi alitoa mchango mkubwa ujenzi wa kiwanda cha saruji jee fedha hizi ziko wapi?. Waziri Nagu alipiga chenga!.

  Kusema Tanzania/CCM itapata laana ya Al Marhum kwa jinsi ilivyomtenda huyu marehemu kwa kutoyataja mema yoyote aliyoisaidia Tanzania/CCM na hatukumpa msaada wowote akiwa in need zaidi ya siku ile Mhe. Membe kutoa yale machozi ya mamba kwenye press co!. Ghadafi katoa fungu nene kampeni ya CCM, katoa ma benzi ya Ikulu na kajenga misikiti kibao!. Tanzania lazima tumfanyie hitma kitaifa vinginevyo!.
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Acha kuabudu miungu wewe. Katambike kwenu na babu zako, kwanza tangu upate kazi hujarudi kwenu kupata baraka za babu yako.
   
 6. only83

  only83 JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,152
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Sasa O.T ndio nini? Unajua wakati mwingine tusitumuie vifupisho ambavyo sio official..hii inapoteza maana kabisa.
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Waziri kajibu vizuri tu. Kasema Serikali haina opportunistic diplomatic relations na mtu yeyote na hakuna mtanzania ambaye angependa iwe hivyo.
   
Loading...