Mtoto wa rais wa zamani wa Zambia akimbia nchi kuogopa kuwekwa ndani kwa ufisadi je wetu wanaliona?

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Son-px.jpg Henry Banda mtoto wa rais wa zamani wa Zambia amekimbilia nchini Kenya kukwepa kukamatwa kwa ufisadi uliotokana na matumizi mabaya ya madaraka ya baba yake. Je akina Ridhiwan hili wanalichukuliaje? Wanaowajua wafikishieni habari wajue kuwa mwisho wa mchezo wao si mzuri na upo hata kama hawataishia kama ilivyotokea Irak, Libya au Misri-kuna mwisho mbaya tu. Yana mwisho wayafanyayo hasa kwa umri wao. Mambo yanazidi kubadilika.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom