Kuna tetesi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe anaingia leo mjini Washington DC pamoja na ujumbe wake ili pamoja na mambo mengine, azungumea na Watanzania walnaoishi huko Marekani na kupokea maswali mbalimbali yanayohusu nchi yetu. Aliye na taarifa zaidi atujulishe ili tupeleke makamanda wetu huko Washington DC.