Bunge la leo siyo live? au Kulikoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge la leo siyo live? au Kulikoni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sungurampole, Feb 3, 2012.

 1. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kwa wale tuliokuwa tumeganda kwenye runinga kuona bunge la leo na kauli ya serikali tumekwama baada ya kwanza umeme kukatika halafu baada ya kuwasha generator letu tukakuta Star TV na TBC nao wamepotea -

  Kulikoni wadau au ni kauli ya serikali?
   
 2. only83

  only83 JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Nadhani ni huko kwenu tu..huku Dom mambo ya umeme kukatika tulikwisha sahau.
   
 3. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kwa huku Rock city mambo bado yamenuna hakuna tv inayoonesha bunge hadi sasa - vp tamko limetoka?
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  tbc wanaonyesha bunge na sasa ni naibu waziri wa elimu anajibu swali.
   
 5. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hii tbc ni mbovu sana inakata kata hapa dar ni nusu saa haipo hewani! Star nayo haionyeshi, ni ushenzi mtupu
   
Loading...