Ya Mbunge Rev. Rwakatare ni Kweli?

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,190
2,000
Nimeshutushwa sana na tuhuma za mbunge wetu wa kuteuliwa Mama Gratruda Rwakatare kuhusu undani wake kutoka katika gazti la kufuatilia mambo ya watu Binafsi yaani ya Udaku yanayotoka Kila ijumaa ikimuhusisha Rev. G. Rwakatare na ndoa yake, ikidaiwa kuwa yeye uishi bila mme na anawajibikaje kushawishi Umma na waumini wake kufuata maadili mema hasa kusuruhisha ndoa wakati ya kwake ilimshinda?
Mwenye hoja karibuni
 

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,830
2,000
Anaitwa Mchungaji Dakta Getrude Rwakatare. Udakta wa kuokoteza. Waumini wake wote ni matajiri/mafisadi.
 

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,271
1,195
Nimeshutushwa sana na tuhuma za mbunge wetu wa kuteuliwa Mama Gratruda Rwakatare kuhusu undani wake kutoka katika gazti la kufuatilia mambo ya watu Binafsi yaani ya Udaku yanayotoka Kila ijumaa ikimuhusisha Rev. G. Rwakatare na ndoa yake, ikidaiwa kuwa yeye uishi bila mme na anawajibikaje kushawishi Umma na waumini wake kufuata maadili mema hasa kusuruhisha ndoa wakati ya kwake ilimshinda?
Mwenye hoja karibuni

Kwani Na JAMIIFORUM NI sehemu ya udaku?
 

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,190
2,000
Rutashubanyuma
 • profile.png
  View Profile
 • forum.png
  View Forum Posts
 • message.png
  Private Message
 • article.png
  View Articles
 • add.png
  Add as Contact
 • email.png
  Send Email
user-online.png
JF Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join DateFri Sep 2010Posts3,032Thanks1,233Thanked 994 Times in 383 Posts Rep Power28

Did you find this post helpful? |
icon1.png
Re: Mchungaji Rwakatare kudai bilioni 2 kwa kuchafuliwa jina.......


Rwakatare adai fidia ya bil. 2/-


na Mwandishi wetu


amka2.gif
Mchungaji Getrude Rwakatare wa Kanisa la Mikocheni B la Assemblies of God, amelitaka gazeti la KIU kumlipa fidia ya sh bilioni 2, kutokana na kuandika habari ambayo imemshushia hadhi katika jamii. Notisi ya kutaka gazeti hilo lilipe kiasi hicho, imeandikwa na Kampuni ya Mawakili ya Maleta & Ndumbaro ya jijini Dar es Salaam na waliopelekewa ni mmiliki wa gazeti hilo, Kiu Investments Limited na Wachapishaji wa gazeti hilo, Imprint.
"Novemba 26 mwaka 2010, gazeti lako la KIU, lilichapisha habari kwa uongo na kwa makosa na isiyo na ukweli wowote. Habari hiyo ilikuwa na kichwa cha habari cha "Mchungaji Rwakatare Matatani Tena! Ni kwa kuongoza kanisa bila ya kuwa na mume".
Katika notisi hiyo, mawakili hao wametoa siku saba kwa gazeti la KIU, limuombe radhi Mchungaji Rwakatare, kwa kukanusha habari hiyo pamoja na kumlipa fidia hiyo, vinginevyo watalishtaki mahakamani.
Mawakili hao wamesema habari hiyo, ililenga kuipotosha jamii na kuifanya iamini kuwa Mchungaji Rwakatare alikuwa akiwashutumu wanawake kwenda kwenye ofisi za wanaume kuomba mikopo, kitu ambacho Mchungaji Rwakatare hajawahi kufanya.
"Habari hiyo ilikuwa imejaa uongo na upotoshaji; na ililenga kuharibu heshima na hadhi ya mteja wetu na kumletea usumbufu, hasa ukizingatia hadhi kubwa aliyonayo katika jamii," ilieleza ba​
 

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,536
2,000
Kama habari ni ya uongo si aseme sasa mumewe ni nani?Sio kwa sababu unatumia jina lake ndo mumeo!
Tumia jina la wazazi wako wa kule moro kama rafudhi yako ilivyo kama umeachana nae acha na jina lake
 

Malunde-Malundi

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
1,288
0
kiu ni la shigongo pia? Si watammaliza akshindwa ubunge na bil 2 tena. Mchungaji gani yule ni msanii anaejua kutumia mdomo wake kiimani
 

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,190
2,000
Huyu Mama Mume wake yupo pale karubu na salamander juu ya duka la viatu Bata anashughulika na biashara , Kama Yeye alimtelekeza basi abadilishe Jina asiendelee kutumia jina lake badal yake Mke aliyenaye ndiye anayepaswa kulitumia, je ukizaa na mtu baki ni lazima atumie Jina lake la Ukoo ? kama yeye aliolewa na kuachika ni shariti arudishe jina kwa mmliki halali lisiwe na jumuia
 

kayumba

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
653
195
Nimeshutushwa sana na tuhuma za mbunge wetu wa kuteuliwa Mama Gratruda Rwakatare kuhusu undani wake kutoka katika gazti la kufuatilia mambo ya watu Binafsi yaani ya Udaku yanayotoka Kila ijumaa ikimuhusisha Rev. G. Rwakatare na ndoa yake, ikidaiwa kuwa yeye uishi bila mme na anawajibikaje kushawishi Umma na waumini wake kufuata maadili mema hasa kusuruhisha ndoa wakati ya kwake ilimshinda?
Mwenye hoja karibuni


Tatizo nini mkuu, mama anajua matatizo ya ndoa hivyo kuyasuluhisha ni rahisi. And remember that experience is the best teacher!
 

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,627
2,000
Aaaah......haya mambo jamani....watu inaonesha wamefika bei kwa mama rwakatare kwani ana mali za kutosha na wanafikiri anatafuta jibaba la kumpa raha............mkome....mwachieni mali zake naamini hizi ni fitina tu na inawezekana kuna udini ndani yake pia kwani anamiliki vitu vingi sana ........
 

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,190
2,000
Tatizo nini mkuu, mama anajua matatizo ya ndoa hivyo kuyasuluhisha ni rahisi. And remember that experience is the best teacher!

Ndoa ndoana yataka uvumilivu sana sasa la uvumilivu liko wapi? je Yeye kama Mwanamke ana hisia? haitaji Mume? kama kanisa lake linafungisha ndoa nani anasimamia je anahubilije wakati wa kuvisha pete maana kuna sehemu ya kuvumilia kwa shida na Raha
 

seniorita

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
674
0
lakini si hana mume huyu!!!

I think kuwa na mume au kutokuwa na mume is not an issue for us; maana hayo kweli ni personal life ys mtu na sidhani kama kuna mmoja wetu ambaye personal life yake is 100% free of dark sides; yaani mwenye maisha ambayo ni full of integrity. What really concerns many of us is her role as the so called religious leader but at the same time, supporting politics that has harmed Tanzanians for many years, and also using religion to garner a lot of wealth for her personal benefits, those issues really disturb me, and I think in that respect she has no integrity and she will never earn my respect
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom