Faustin ndugulile naye kiboko.. Huenda akakwamisha muswada usijadiliwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Faustin ndugulile naye kiboko.. Huenda akakwamisha muswada usijadiliwe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jumakidogo, Feb 2, 2012.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hii ndiyo kitu watanzania tunataka, huenda muswada wa marekebisho ya sheria mbali mbali hasa kuhusiana na sheria ya utoaji wa mikopo ya elimu ya juu ukakwama na kujadiliwa tena mwezi wa nne baada ya kufanyiwa marekesho. Hii ni kutokana na hoja ya kuupinga ya mh Ndugulile kuungwa mkono na wabunge wengi hasa CDM. Naibu spika ameomba muda wa kutafakari.
   
 2. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Ndugu,

  Pamoja na kwamba sijauona muswada huo (Nauomba) na wala sikuangalia TV jana nafikiri watu makini utekeleza mambo makini bila kuangalia nyuma kuna nini. Wawakilishi wetu (wabunge) inawabidi wawe kitu kimoja pale maslahi ya taifa yanapojadiliwa tofauti na mwonekano uliojengeka kwamba masuala ya kulijenga taifa wabunge wa upinzani ndiyo uwa mstari wa mbele.

  Sheria, kanuni na taratibu mbovu sizijadiliwe kwa ushabiki wa vyama.
   
Loading...