Kwa waandishi waliopo Dodoma mdaa huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa waandishi waliopo Dodoma mdaa huu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanakili90, Feb 3, 2012.

 1. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Naomba muni inbox ili niwape kazi ya kuripoti tukio katika vyombo vya habari vya kesho.
  Natanguliza shukrani.
   
 2. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,897
  Likes Received: 5,359
  Trophy Points: 280
  kama una taarifa za ugonjwa wa mwakyembe mwaga humu hadharani,,..acha uwoga
   
 3. fikrapevu sungura

  fikrapevu sungura Senior Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona hueleweki lete habari kamili ebo.
   
 4. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  kaugua tena?
   
 5. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  umetishwa na mchungaji choli rwakatare nini?
   
 6. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #6
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  ni nini hasa km afya ya Cyril chami au Lyatonga Mrema tunaziona live hapahapa uwanjani na nina hakika hata walio ktk TV kingine ni kipi labda waliochaguliwa kuunda hiyo kamati ya kuonana na madaktari wakiwemo mama Sitta Ndugulile unawajua walioongezwa
  hapa ni JF usiombe box ww mwaga
   
 7. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Toa 2, wote 2isome
   
 8. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,155
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  mbona una asili ya uoga wewe kama hukutaka kumwaga humu si ungetulia tu na si kutujazia ujinga wa thread zisizo na maana, usiwe mwoga kama mwanamke.
   
 9. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  sema usikike kwni hki sio chombo cha habari
   
 10. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Hana lolote huyu.Kama ameshindwa kumwaga hapa anataka nini?Au ndio wale "wapiga deal" sasa hicho alichonacho anataka "kimtoe".

  Tanzania hii taabu kweli kweli.Tumeanza kulingishiana habari/tetesi humu tena.
   
 11. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #11
  Feb 3, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wacha ni mu inbox as per his/her request then nitawajuza
   
Loading...