Mwigula na mbinu za Igunga Arumeru ataweza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwigula na mbinu za Igunga Arumeru ataweza?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by KOMBAJR, Feb 3, 2012.

 1. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  baada ya kufanikiwa kuchakachua igunga amehamia arumeru mwigula amepiga kambi arumeru akipita vijijini huku akigawa pesa kwa wapiga kura ili kuweka mazingira ya wao kupata ushindi.ila kwa taarifa cdm wapo makini na wanataarifa zote na hicho kinachoendele soon mnalipuliwa.

  Utaumbuka mwigula na timu yako siyo kila mahali unaweza kutumia mbinu chafu kama za igunga.

  Mytake
  kama kweli nyie ndiyo mlikuwa na jimbo na ndo wenye dola mnagawa pesa za nini?
   
 2. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  cdm haina uwezo wa kushinda uchaguzi mdogo tena hizo hela bora wawe wanaratibu maandamano
   
 3. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  mashudu!
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  kwa sasa CCM wanaogopa sana uchaguzi yaan hata kama huo uchaguzi unafanyika BAGAMOYO huwa hawajiamini kabisa
   
 5. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Kuweni makini watu wa Arumeru jamaa anaubavu pia wa kuiba wake za watu
   
 6. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kazi ipo ila mgogoro wa madiwani arusha haujaisaidia chadema lazima ipigwe arumeru
   
 7. m

  mopaomokonzi JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Visingizio kibao, jamaa ana ushawishi mkubwa wala sio pesa. Pesa gani ya kuwapa watu elfu 30? Tutumie hata fikra kidogo tu ataGawaje? Na kule naamini atarudi na ushindi
   
 8. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #8
  Feb 3, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  u-shoes!
   
 9. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ni Mwigulu sio Mwigula!
   
 10. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,684
  Likes Received: 21,946
  Trophy Points: 280
  Watu wa Arumeru wenye wake zao makada watahadharishwe juu ya uwepo wa huyo jamaa na ile tabia yake
   
 11. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #11
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Muangalieni sana na wake zenu huko Arumeru; asije akayarudia ya Igunga kubabaka tena. Machalii wote wa Kaskazini muwe na taarifa kwamba 'Mwichemba mla kisicho chake yuko maeneo' hivyo msisite kumdhibiti na watoto wa kike huyu.
   
 12. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #12
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Pole sana, wewe uko dunia gani?! Unataka kusema hakuna rushwa kwenye chaguzi?! Binafsi nafahamiana kwa kiasi fulani na gamba mmoja aliye kwenye msafara huo na anakiri kuwa kazi wanayofanya ni kutumia pesa kuwarubuni watu waiunge mkono na kuipigia debe ccm.
   
 13. d

  davidie JF-Expert Member

  #13
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukitaka kujua kuwa magamba ni maji ya shingo angalia uongozi wooote wa juu utakavyohamia Arumeru bado na pesa watahonga na kura wataiba pia usalama wa taifa watatumika na ffu na polisi wa kawaida pia, wewe hauoni kuwa huko ni kuiba? au kuhonga? usiseme kama vile sisi tunaishi nje ya tanzania, tunaijua ccm nje na ndani
   
 14. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #14
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tuulizeni sisi tunaoishi arusha..muulizeni zile bendera mmpya za ccm wakati wa msiba zilienda wap?jib;zilishushwa zikatiwa kiberit zote...hata mwenyekiti wao hakuweza kuongea neno mazingira yaikuwa hatarishi akakimbia baada ya kuzika......gb lema ilibidi wamuombe abaki kwenye gar maana kila anakopita alikuwa lulu........
   
 15. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #15
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Samadi
   
 16. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #16
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Vipi mbona unamsifia sana kuhusu ushawishi, alishawahi kumshawishi mai waifu wako akam........?
   
 17. N

  Ngoiva JF-Expert Member

  #17
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani jamani jamani! Wake za watu! Huyu jamaa ameshaanza ya kuchukua wake za watu. Mwigulu Mchemba ni bingwa wa kuvunja ndoa za watu.
   
 18. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #18
  Feb 3, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  nilisoma kwenye gazeti la mwananchi akionywa na yule kijana mwkt WA BAVICHA NDG HECHE vikali sana kama alielewa hatarudia ingawa sina hakika kama alielewa
   
 19. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #19
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,280
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Mwigulu kuwa makini huku kwetu.

  1. Ukifanya yale ya Mke wa mtu, utapigwa mawe hadi death
  2. Hakuna alietayari kumwagiwa tindikali.
  3. Hao polisi mnaowatuma kuchukua kadi za kura waambie wawe makini, watajikuta kubaya
  4. Hii barabara ya Nkoaranga mloanza kuchonga kutuhadaa tumewastukia, mlikuwa wapi siku zote??

  Nassary ndio chaguo letu, Chadema ndio njia.
   
Loading...