MADOKTA Na PROPAGANDA Za MPONDA NA SERIKALI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MADOKTA Na PROPAGANDA Za MPONDA NA SERIKALI

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mazee, Feb 3, 2012.

 1. Mazee

  Mazee Senior Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 6, 2007
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [B]Madaktari na Serikali
  SERIKALI KWA SASA INAENDELEA KUPIGA PROPAGAND ILIKUPOTEZA MWELEKEO MZIMA WA HILI SAKATA KWA KUTAKA JAMII NA HATA MADAKTARI WENYEWE WAANZE KUJADILI HILI KUWA ETI FLANI NI MTU AMA SIO MTU AU HIZI UNAZOSOMA NI HERUFI AU SIO HERUFI , HAHAHA MY POOR MY STUPID GOVERNMENT

  NAAMINI MADAKTARI KWA KUWA WAO SIO WANASIASA HAWATAUMIZWA VICHWA NA HUU UPUPU WA HILI GENGE LA MAJAMBAZI NA WAPUUZI WHO CAN'T STOP LOOTING OUR COUNTRY'S RESOURCES AND NEVER TRY TO IMAGINE THEMSELVES OUT OF POWER…WANAAMINI WAO WATAKUWA VIVYO HIVYO MADARAKANI SIKU ZOTE.  Dharau ya serikali kwa wananchi
  SERIKALI IMEONEKANA KUWA DHAIFU KUTOJALI MAISHA YA WATANZANIA WAZI WAZI
  KIASI KWAMBA INAJADILI VITU MUHIMU KWA KUPUUZIA KAMA HUU WA LEO BUNGENI.
  YAANI KWELI HII NDIO HOTUBA AMBAYO WATANZANIA MLIKUWA MNAISUBIRIA KWELI??
  WANANCHI AMKENI MNADHARAULIWA SANA SERIKALI INAWAONA KUWA NYIE NI WAJINGA SANA NA WENYE FIKRA NDOGO NA MBOVU MBOVU .
  NDIO MAANA WANAWALETEA HOJA ZA KIJINGA NAMNA HIII WAKATI MAISHA YENU YANAPOTEA AU UBORA WA MAISHA YENU UNAPUNGUWA KWA MADHARA YA MGOMO HUU……..
  NYIE MNAPATA SHIDA WAO WANAKULA POSHO BUNGENI HALAFU WANAFUNGA MASIKIO NA MACHO KUHUSU MATATIZO YENU MNAYOYAPATA.

  Wananchi WASOMI
  NINYI NANYI MNAIANGUSHA NCHI YENU KWA KUKAA NA KUENDELEA KURUHUSU HILI KUNDI LA MAJANGIRI LIFANYE LINAYOYAFANYA VILE LIJISIKIAVYO AMKENI
  KUWENI SERIOUS IONESHENI SERIKALI YENU KWA VITENDO MADAKTARI WAMEFANYA NYIE MNABAKI MNAONGEAONGEA TU! BADALA YA KUCHUKUA HATUA HUU SI MUDA WA KUONGEA NCHI IMEHARIBIKA CHUKUENI HATUA………..MADAKTARI WAMECHUKUA HATUA SASA! NA MUDA SI MREFU WATACHUKUA HATUA NYINGINE HII NI HATUA YA KWANZA NAAMINI. JIFANYIENI TATHMINI UPYA


  [/B]
   
Loading...